Pastor anazidi kujichimbia kaburi soon leo limekaa kifua wazi na boxer tu na nombu ana pajama, malaya huyu
soon tunamzika.
Ayanda akafumwa akimtongoza nombu na mama yake.
Kuna dada alisemaga hapa kuwa mabuza ndio anahusika kumshoot xulu, sasa nimemuelewa nakazia mabuza ni muhusika.!
Mxo naye kaanza kupata mashaka sana kuhusu mk kuwa ndio muuwaji..
Master kaanza kumkwepa nosipho safi sana mwamba.. Kazi nzuri