Uzalishaji wa Tumbaku umeongezeka mara mbili kwa kipindi cha miaka minne

John John Msakuzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
279
Reaction score
99
1754890875500.png

Akiongea na waandishi wa Habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora anasema Serikali ya Awamu ya Sita imetoa TZS 52.8 bilioni kwa ruzuku ya mbolea, mbegu na miradi ya umwagiliaji ili kuongeza tija na usalama wa chakula.

Skimu za umwagiliaji nazo zimeongezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 46 mwaka 2025 na eneo la umwagiliaji kutoka ekari 16,453.25 hadi 37,560.25. Vyama vya umwagiliaji vimeongezeka kutoka 10 hadi 23, na upatikanaji wa mbolea kutoka tani 34,109 mwaka 2020|2021 hadi tani 61,504 mwaka 2024|2025.

Kutokana na hayo, uzalishaji wa tumbaku umeongezeka kutoka kilo 29,829,742 mwaka 2021 hadi kilo 62,964,460 mwaka 2025. Matumizi ya Mbolea yameongezeka kutoka Tani 30 hadi 60,000 wakati uzalishaji wa Tumbaku nao ukiongezeka kutoka Tani 30,000 hadi 60,000
 
Alikuwa anamhutubia nani na wapi na lini
 
nimeshafafanua mkuu

❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌😖😡😡😡 Bado hujui kuleta habari, hueleweki, lini, wapi, na akihutubia nani?
 
takataka
 
View attachment 3438117

Kazi iendelee Kwa wivu mkubwa
 
❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌😖😡😡😡 Bado hujui kuleta habari, hueleweki, lini, wapi, na akihutubia nani?
naona unajaza takataka zako hapa
 
View attachment 3438117
Akiongea na waandishi wa Habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora anasema Serikali ya Awamu ya Sita imetoa TZS 52.8 bilioni kwa ruzuku ya mbolea, mbegu na miradi ya umwagiliaji ili kuongeza tija na usalama wa chakula.

Skimu za umwagiliaji nazo zimeongezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 46 mwaka 2025 na eneo la umwagiliaji kutoka ekari 16,453.25 hadi 37,560.25. Vyama vya umwagiliaji vimeongezeka kutoka 10 hadi 23, na upatikanaji wa mbolea kutoka tani 34,109 mwaka 2020|2021 hadi tani 61,504 mwaka 2024|2025.

Kutokana na hayo, uzalishaji wa tumbaku umeongezeka kutoka kilo 29,829,742 mwaka 2021 hadi kilo 62,964,460 mwaka 2025. Matumizi ya Mbolea yameongezeka kutoka Tani 30 hadi 60,000 wakati uzalishaji wa Tumbaku nao ukiongezeka kutoka Tani 30,000 hadi 60,000
Haya ni baadhi ya mambo mazuri ya Rais Samia:

  1. Kufungua Tanzania kimataifa na kuongeza uwekezaji kupitia diplomasia ya kiuchumi.
  2. Kuendeleza miradi mikubwa ya kimkakati kama SGR, Bwawa la Julius Nyerere na uboreshaji wa viwanja vya ndege na bandari.
  3. Kusimamia elimu bila ada na kuongeza miundombinu ya shule, vyuo na ajira za walimu.
  4. Kuboresha huduma za afya kwa kujenga hospitali, vituo vya afya na kupeleka vifaa tiba vya kisasa.
  5. Kusogeza huduma za maji na nishati vijijini na mijini ili wananchi wapate maisha bora.
  6. Kuimarisha mshikamano wa kitaifa kwa kuunganisha Watanzania bila kujali tofauti za kisiasa, kijamii au kidini.
  7. Kusikiliza wananchi kwa karibu na kuwaongoza kwa mtindo wa ushirikishwaji na uwazi.
 
View attachment 3438117
Akiongea na waandishi wa Habari Mkuu wa Mkoa wa Tabora anasema Serikali ya Awamu ya Sita imetoa TZS 52.8 bilioni kwa ruzuku ya mbolea, mbegu na miradi ya umwagiliaji ili kuongeza tija na usalama wa chakula.

Skimu za umwagiliaji nazo zimeongezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 46 mwaka 2025 na eneo la umwagiliaji kutoka ekari 16,453.25 hadi 37,560.25. Vyama vya umwagiliaji vimeongezeka kutoka 10 hadi 23, na upatikanaji wa mbolea kutoka tani 34,109 mwaka 2020|2021 hadi tani 61,504 mwaka 2024|2025.

Kutokana na hayo, uzalishaji wa tumbaku umeongezeka kutoka kilo 29,829,742 mwaka 2021 hadi kilo 62,964,460 mwaka 2025. Matumizi ya Mbolea yameongezeka kutoka Tani 30 hadi 60,000 wakati uzalishaji wa Tumbaku nao ukiongezeka kutoka Tani 30,000 hadi 60,000
🚮
 
Back
Top Bottom