Uza, Nunua, Panga, pangisha kwa kifupi HOMIFY

Great Innovation All the best mkuu
 
Samahani! Mbona hamkutumia homify.com ? au mmejipanga kwa Tanzania th hamtaki kifika Int. Level?
2. Hongera sana kwa hili
3. Naweza kupata ajira/kazi au amb. Hapo?
4. Physical office zinapatikana wapi?
 
Samahani! Mbona hamkutumia homify.com ? au mmejipanga kwa Tanzania th hamtaki kifika Int. Level?
2. Hongera sana kwa hili
3. Naweza kupata ajira/kazi au amb. Hapo?
4. Physical office zinapatikana wapi?
Ahsante sana kaka kwanza kabisa tumetumia homifytz.com kwa sababu tulipotafuta homify.com ilikwisha kuwa occupied na watu wanaofanya shughuli tofauti na zetu huko ulaya.

Kuhusu ajira tunaweza kufanya kazi pamoja kama tukikubaliana katika terms na conditions.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri term's and conditions ni zipi? Kma hutojari
 
App nimeijaribu ni nzuri sana na itarahisisha sana mambo ila nuna mambo matatu ya kuwashauri.

1. Angalieni mbadala wa jina kama itawezekana kwa sababu jina mnalotumia sasa linaweza kuwaletea mgogoro wa hati miliki hapo mbeleni mkikua.

2. Mjitahidi kuhakikisha kwa wale wanaopost nyumba za kuuza vyumba vya kupanga n.k wawe wamiliki halali na sio madalali hii itapunguza gharama zisizo na msingi kwa mnunuzi au mpangaji.

3. Fanyeni advertisement ya nguvu.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante sana kwa ushauri mkuu, kuhusu jina tumebuni wenyewe kwa kudevelop kutoka kwenye neno "home" baada ya kusajili tulikutana na jina homify likiwa lina exist.

Je, inawezekanaje jina moja lenye biashara mbili tofauti likaleta mgogoro?? Iihali kila mtu ana serve different market??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ongezeni uimara, muonekano mzuri na design bila kusahau speed (traffic)

comment tayari
 
Nimecheki website mwanzo sio mbaya ..ila ingependeza zaidi kama mngekuwa mnaweka picha zaidi kuanzia muonekano wa nje hadi wa ndani

..kingine mjaribu ku customize muweke na vyumba 2 chumba kimoja 1 ..master ndogo special kwa wanachuo then mfanye advertisement

Ni hayo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…