Uza, Nunua, Panga, pangisha kwa kifupi HOMIFY

Nimecheki website mwanzo sio mbaya ..ila ingependeza zaidi kama mngekuwa mnaweka picha zaidi kuanzia muonekano wa nje hadi wa ndani

..kingine mjaribu ku customize muweke na vyumba 2 chumba kimoja 1 ..master ndogo special kwa wanachuo then mfanye advertisement

Ni hayo mkuu
Mkuu nimekupata vizuri sana, hapo kwenye picha zaidi tumesolve right now, na hapo kwenye vyumba nimekuelewa sana kuna kundi kubwa la watu wanatafuta vyumba, thanks.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom