Nauza kifaa cha kutengenezea mishumaa ya kanisani

Biashara2000

JF-Expert Member
Nov 9, 2013
636
540
Habari nauza vifa vya kutngeezea mishumaa ya kanisani. Mishumaa 18 kwa saa. Kila dk 20 mishumaa 6 bei sh 120,000 nipo Dar 0758308193. Unaweza uza hata kwa watu kutumia nyumbani

images - 2023-09-16T154014.507.jpeg

 
Pia mishumaa mikubwa minene inayotumika kanisani mfano kanisa katoliki na mengine pia nauza. ina upana diameter 7cm na urefu futi 1 kwa sh 12000. Lakini size yeyote unayotaka nakutengenezea. ukishanipa kipimo utakachoo nakupigia hesabu unapata. 0758308193
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom