Uza, Nunua, Panga, pangisha kwa kifupi HOMIFY

Basham

Verified Member
Oct 10, 2014
742
500
Tumerahisisha, sasa unaweza kuuza au kununua, kupanga au kupangisha nyumba mkoa wowote Tanzania kupitia homifytz.com au android app homifytz.

Jinsi ya Ku-Homify

Ni rahisi Piga picha apartment, nyumba, vyumba au kiwanja ingia homifytz.com weka picha na taarifa zake subiri simu za wateja. AU

Download app ya homifytz sign up weka mali yako na usubiri simu mfululizo kutoka kwa wateja. AU

Tuma picha zako na maelezo kwa njia ya Whatsap 0742751265, email service@homifytz.com, DM instagram @homifytz, facebook @homifytz, PM jamii forum @homifytz

Homify your property today

#uza #nunua #pangisha #nyumba #apartment #viwanja #vyumba #homifytz View attachment 1016658

Sent using Jamii Forums mobile app
Great Innovation All the best mkuu
 
isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
2,917
2,000
Samahani! Mbona hamkutumia homify.com ? au mmejipanga kwa Tanzania th hamtaki kifika Int. Level?
2. Hongera sana kwa hili
3. Naweza kupata ajira/kazi au amb. Hapo?
4. Physical office zinapatikana wapi?
 
Panda II

Senior Member
May 25, 2017
174

Ahsante sana kaka kwanza kabisa tumetumia homifytz.com kwa sababu tulipotafuta homify.com ilikwisha kuwa occupied na watu wanaofanya shughuli tofauti na zetu huko ulaya.

Kuhusu ajira tunaweza kufanya kazi pamoja kama tukikubaliana katika terms na conditions.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
2,917
2,000
Ahsante sana kaka kwanza kabisa tumetumia homifytz.com kwa sababu tulipotafuta homify.com ilikwisha kuwa occupied na watu wanaofanya shughuli tofauti na zetu huko ulaya.

Kuhusu ajira tunaweza kufanya kazi pamoja kama tukikubaliana katika terms na conditions.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vizuri term's and conditions ni zipi? Kma hutojari
 
SamuraiJack

Senior Member
Dec 24, 2017
190
250
Tumerahisisha, sasa unaweza kuuza au kununua, kupanga au kupangisha nyumba mkoa wowote Tanzania kupitia homifytz.com au android app homifytz.

Jinsi ya Ku-Homify

Ni rahisi Piga picha apartment, nyumba, vyumba au kiwanja ingia homifytz.com weka picha na taarifa zake subiri simu za wateja. AU

Download app ya homifytz sign up weka mali yako na usubiri simu mfululizo kutoka kwa wateja. AU

Tuma picha zako na maelezo kwa njia ya Whatsap 0742751265, email service@homifytz.com, DM instagram @homifytz, facebook @homifytz, PM jamii forum @homifytz

Homify your property today

#uza #nunua #pangisha #nyumba #apartment #viwanja #vyumba #homifytz View attachment 1016658

Sent using Jamii Forums mobile app
App nimeijaribu ni nzuri sana na itarahisisha sana mambo ila nuna mambo matatu ya kuwashauri.

1. Angalieni mbadala wa jina kama itawezekana kwa sababu jina mnalotumia sasa linaweza kuwaletea mgogoro wa hati miliki hapo mbeleni mkikua.

2. Mjitahidi kuhakikisha kwa wale wanaopost nyumba za kuuza vyumba vya kupanga n.k wawe wamiliki halali na sio madalali hii itapunguza gharama zisizo na msingi kwa mnunuzi au mpangaji.

3. Fanyeni advertisement ya nguvu.

Nawasilisha

Ahsante sana kwa ushauri mkuu, kuhusu jina tumebuni wenyewe kwa kudevelop kutoka kwenye neno "home" baada ya kusajili tulikutana na jina homify likiwa lina exist.

Je, inawezekanaje jina moja lenye biashara mbili tofauti likaleta mgogoro?? Iihali kila mtu ana serve different market??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nas Jr

JF-Expert Member
May 15, 2018
3,770
2,000
Ongezeni uimara, muonekano mzuri na design bila kusahau speed (traffic)

comment tayari
 
Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
3,441
2,000
Nimecheki website mwanzo sio mbaya ..ila ingependeza zaidi kama mngekuwa mnaweka picha zaidi kuanzia muonekano wa nje hadi wa ndani

..kingine mjaribu ku customize muweke na vyumba 2 chumba kimoja 1 ..master ndogo special kwa wanachuo then mfanye advertisement

Ni hayo mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom