Bila kuwasahau Tabora girls...wakati wa joint mass.....mikusanyiko ya pamoja Disco la mchana ile saa nane nane kijua.....wapi chuo cha uhazili na Mirambo secondary...ya Kale dhahabu....good sweet memories....Tabora raha saanaaa.
Pia ni mkoa uliokuwa na mabinti wazuri.
Unakumbuka yale mapicha ya wazungu yaliyotundikwa ukutani...wamevaa kaptula ......mmoja ana masikio makubwaa........na ule ubao wenye majina ya viongozi waliosoma pale....sijui kama bado upo?
Unakumbuka yale mapicha ya wazungu yaliyotundikwa ukutani...wamevaa kaptula ......mmoja ana masikio makubwaa........na ule ubao wenye majina ya viongozi waliosoma pale....sijui kama bado upo?