Uyu ndo Mark caney mbabe wa trump

Uyu ndo Mark caney mbabe wa trump

andazi

Member
Joined
Jun 7, 2025
Posts
49
Reaction score
214
Je, umewahi kujiuliza kama kuna kiongozi yeyote wa nchi za NATO anaonyesha ubabe mbele ya Trump? wanafikiri haiwezekani, lakini ukweli ni kwamba yupo ni Mark Carney, Waziri Mkuu wa Canada.


Baada ya Justin Trudeau kujiuzulu mwaka 2025, Wacanada walimchagua Mark Carney kutokana na uzoefu wake mkubwa wa uchumi. Moja ya sababu kuu ya kuchaguliwa kwake ilikuwa ni uwezo wa kuisimamia Canada vizuri kiuchumi na kushughulikia changamoto za uhusiano na utawala wa Donald Trump


Wakati Carney anaingia madarakani, karibu 75% ya bidhaa za Canada zilikuwa zinauzwa Marekani. Lakini ndani ya mwaka mmoja tu, ameanza kupunguza utegemezi huo hadi takribani 65% kwa kupanua masoko na kusaini mikataba mipya ya biashara, ikiwemo na China kitu ambacho kilimsumbuwa sana trump


Wakati Trump alipoanza kuweka ushuru kwa baadhi ya bidhaa za Canada, trump alidhani Canada itanyamaza na kuonyesha udhaifu wao mbele yake Lakini haikuwa hivyo Canada ilijibu kwa counter-tariffs kulinda maslahi yao Mvutano ukaongezeka hadi kufikia vitisho vya ushuru mkubwa zaidi iwapo Canada itaendelea kushirikiana kibiashara na China Ili nalo likafeli.
Akaanza propaganda za kugawa makundi ndani ya canada kwa kuchochea vurugo ndani ya canada kwa kuwaambia wacanada kuwa china ita take over canada wataanza kuongea kichina lengo ni wananchi wa canada kupingana na serekali yao mwisho ikafeli

Mwisho akashindwa vita vya biashara baada ya congress kupiga kura kumaliza ushuru wote bidhaa za canada kwanda usa
Sasa hivi analalamika mitandaoni tu lengo la kufanya canada kuwa 51 state yake anaona linaidi kwenda na maji
 

Attachments

  • FB_IMG_1770988995515.jpg
    FB_IMG_1770988995515.jpg
    273.1 KB · Views: 13
  • FB_IMG_1770989070553.jpg
    FB_IMG_1770989070553.jpg
    146 KB · Views: 10
Back
Top Bottom