Uyu kaka ameniganda nataka nimuache

Binti naona umempata wa kumtesa, Kila kukicha wamtishia kumwacha ili ujiridhisha ni kwa kiasi gani anakupenda na kupiga kwake magoti ndo furaha yako.

Jitathmini sana.
 
sio uyu ni huyu.

Unatuita ndugu zako wakati ndugu yetu unataka umuache..!!
Ni hivi baki na hilohilo jini lako huku nje kuna majini kama akina kenzy tunamakeke dada hautaweza kustahimili!. usimuache mvumilie ukimuacha unamuachia nani..?
Nataka niwaachie wengine wakahaike nae!! Nimemchoka ana visa alaf hataki tuachane!!
 
Makorokocho at its peak
 
Kwelii kichekeshoo unaanzaje kulia asee. Au tumuulize mleta mada analia akiwa amekunywa? Maana ukilewa chozi linatoka kirahisi.
Nilishawahi kumuona mmoja, analia hata hajanya yupo vizuri kabisa. Yaani yale machozi ya kububujika kama ya Lucas.
Ila ndo waongo hawamaanishi, na bado utapigwa matukio kama kawa
 
Na kukupenda kote huko leo unataka uniache?😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…