Lazima michakato iendelee na pesa lazima ipatikane , huyo alikua anashangilia konyagi ya 3500 , sijui atakua p square au universal, halafu analishwa na supu ya kuku wagumu kidogo wa Malawi wale wa nyama anaambiwa ni wakienyeji basi anaona maisha mazuri asijui konyagi inazalishwa mbeya , smart gin inazalishwa mbeya na kuuzwa nchi nzimaMafundi wako hapo mtaa wa pili tu panaitwa gombe.