kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,460
- 4,166
Hako ni ka kuleta hamu ya chakuka tu sio kusema umekunywa pombe.Hiyo konyagi hapo mnayoiona bei ni 3,500/=,soda 7,00/= maji 1,000/=
Totall 5,200/=
Nipo kwa shangazi pub huku uyole tulia road napiga vyombo tu,aliyeko karibu aje tule vitu.
Kitimoto huku nusu ni elfu 5 tu.
Nipo mwanjelwa nafika fikaje ndugu,hiyo ndio mambo yenyewe ninayoifagilia!Hiyo konyagi hapo mnayoiona bei ni 3,500/=,soda 7,00/= maji 1,000/=
Totall 5,200/=
Nipo kwa shangazi pub huku uyole tulia road napiga vyombo tu,aliyeko karibu aje tule vitu.
Kitimoto huku nusu ni elfu 5 tu.
Koneshkisheni basi ndugu?Msalimie malaya wangu mmoja hapo anaitwa Aisha,mwambie Emma kamiss k yake
Nimechapa sana hiyo kipindi niko huko.Koneshkisheni basi ndugu?
Hiyo ndiyo Tanzagiza kunywa at your own risk .wenginne kasichana tunakanywa wiki kupunguza athari za kufa figo!Konyagi za uyole ni feki zinatengenezwa na wachina pale isyesye , viwanja vya uyole hadi sai ni feki tupu , mbeya pazuri, kwenda city pub, wairubi , ndio utakunywa of au ukanunue kwa chonjo au Obama , ukivuka mafiati hadi mbalizi kote feki Tu Lebo za tra zinachapishwa tunduma na kuwekwa kwenye vifuniko kama kawaida hapo hakuna jipya
Mbona unaleta maswali ya ajabu bar wewe?ukitukanwa utasema umeonewa!vipi hujaoa? Au tusubir hajazaliwa
Hiyo bei imenishangaza sanaKonyagi za uyole ni feki zinatengenezwa na wachina pale isyesye , viwanja vya uyole hadi sai ni feki tupu , mbeya pazuri, kwenda city pub, wairubi , ndio utakunywa og au ukanunue kwa chonjo au Obama , ukivuka mafiati hadi mbalizi kote feki Tu Lebo za tra zinachapishwa tunduma na kuwekwa kwenye vifuniko kama kawaida hapo hakuna jipya
Dah hii nchi Sasa si watu wanaathirika sana kiafya ...Konyagi za uyole ni feki zinatengenezwa na wachina pale isyesye , viwanja vya uyole hadi sai ni feki tupu , mbeya pazuri, kwenda city pub, wairubi , ndio utakunywa og au ukanunue kwa chonjo au Obama , ukivuka mafiati hadi mbalizi kote feki Tu Lebo za tra zinachapishwa tunduma na kuwekwa kwenye vifuniko kama kawaida hapo hakuna jipya
Umesema kweli hizo mambo zinatengenezwa mageton mafundi wapo tundumaKonyagi za uyole ni feki zinatengenezwa na wachina pale isyesye , viwanja vya uyole hadi sai ni feki tupu , mbeya pazuri, kwenda city pub, wairubi , ndio utakunywa og au ukanunue kwa chonjo au Obama , ukivuka mafiati hadi mbalizi kote feki Tu Lebo za tra zinachapishwa tunduma na kuwekwa kwenye vifuniko kama kawaida hapo hakuna jipya
Kila mtu apambane na hali yakeDah hii nchi Sasa si watu wanaathirika sana kiafya ...
Mafundi wako hapo mtaa wa pili tu panaitwa gombe.Umesema kweli hizo mambo zinatengenezwa mageton mafundi wapo tunduma
Kama konyagi watu wanafanya magilini yao Sijui itakuwaje visungura huku mtaani🤔Hiyo ndiyo Tanzagiza kunywa at your own risk .wenginne kasichana tunakanywa wiki kupunguza athari za kufa figo!