Uwoya alitoa mimba ya H.baba

Hayo ndio madhara ya ku date na wanaume washamba washamba
 
Irene kila kunapokucha anazidi kunoga, aseeh dada ni mzurii general sjui ilikuaje akawa wa tano miss Tz ?

PSL god kama haja comment Uzi ni batili
 
Nimefurahi kusikia hilo my love jilinde na baridi usije ukaumwa sweetie 😘

Take care
Yaani wewe ulivyonichamba the first day leo ndo naitwa love, haya bhana nitavaa sweta asante
 
Yaani wewe ulivyonichamba the first day leo ndo naitwa love, haya bhana nitavaa sweta asante
Nilikuchamba wapi bana! Mi nilikuwa nakutania tu usichukulie serious kiasi hicho 🀣.

My J 😜😝
 
Nilikuchamba wapi bana! Mi nilikuwa nakutania tu usichukulie serious kiasi hicho 🀣.

My J 😜😝
hahahhaha, halafu mie sio mtu wa kuchukulia vitu serious maana maisha yenyewe haya ukiweka kila kitu serious unaweza ukufe bure
 
hahahhaha, halafu mie sio mtu wa kuchukulia vitu serious maana maisha yenyewe haya ukiweka kila kitu serious unaweza ukufe bure
My love 😍❀️
 
Jamaa alikuwa akimla Shuzi Uwoya on Daly basis wakati Uwoya akiwa kwenye Peak Yake kabisa. Haya maisha haya kuna watu wana bahati sana.

Kila nikivuta picha ya lile Salo alilokuwa nalo Uwoya miaka ile naishiwa nguvu
 
Huyu jamaa kichwani hakuna kitu.
 
Duuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…