Uwongo wa mchana wa Prof. Kabudi kuwa dawa inagawiwa na Rais Madagascar kumbe ipo hadi madukani

Unataka uende kununua dawa?
Tatizo huanziaga hapa,mtu anakua na asili ya ubishi,siku akipata mamlaka ndo anavimba hadi kutaka kujipasua,sa mtu ukiulizwa kitu kidogo kama hiki unakwama wapi kujibu.
 
Mkuu hapa wewe ndio mwenye matatizo yakuelewa. Hivi ulielewa kuwa rais anamfuata kila mgonjwa anampa au?
dah.
Kila kitu hata cha hovyo mnatetea tuu, bado kinyesi chao mseme ni keki kwa jinsi mnavyo jitutumua.
Hamuoni ni jambo baya na la aibu kuwa na viongozi wanaodanganya watu kama vile watu hao ni wajinga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hapa wewe ndio mwenye matatizo yakuelewa. Hivi ulielewa kuwa rais anamfuata kila mgonjwa anampa au?
dah.
Hiyo kauli ya Rais Mwenyewe ndio anagawa, ni kauli anayoweza kutoa mtu mzushi au mwenye matatizo ya akili.
 
Uelewa wako tu mdogo!! Sasa imefikaje hapo kwenye supermarket kama siyo kwa kibali cha Rais wao? Ukiwa na ubongo ulioathirika na saccos ni shida!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…