- Thread starter
- #21
Kuna hii ya kulala nje halafu asubuhi unaenda na polisi home unamwambia wife nilikamatwa jana huyu jamaa kanisaidia kunitoa asubuhi hebu mpe elfu 20 nitakurudishia baadae.Mimi nina hela hadi nataman kujiteka.
Kuna hii ya kulala nje halafu asubuhi unaenda na polisi home unamwambia wife nilikamatwa jana huyu jamaa kanisaidia kunitoa asubuhi hebu mpe elfu 20 nitakurudishia baadae.Mimi nina hela hadi nataman kujiteka.
Nashukuru, hebu nawe tuambie uongo uliowahi kuusikia kwa mwanaume.
Hahahahah!Hii kali.BelivdatKuna hii ya kulala nje halafu asubuhi unaenda na polisi home unamwambia wife nilikamatwa jana huyu jamaa kanisaidia kunitoa asubuhi hebu mpe elfu 20 nitakurudishia baadae.
mi mabaa medi wanajua kila gari lenye pleti namba ya njano ni gari langu
Kuna hii ya kulala nje halafu asubuhi unaenda na polisi home unamwambia wife nilikamatwa jana huyu jamaa kanisaidia kunitoa asubuhi hebu mpe elfu 20 nitakurudishia baadae.
dah siku nilimpiga fix binti kwamba mi mgeni hapa mjini natokea magu sijui hata km ni mwanza au shinyanga.kumbe demu ndo kwao kabsaa alikozaliwa na kukulia?bac si maswali hayo kutoka huko magu.maswali rahisi km ningeishi huko japo kidogo ila kwangu sipajui hata palivyo
ikabidi baadae nimyayushe dem kwamba tulizaliwa pale wakati wa vita ya idd amini hivyo tulihama kipindi hiyo na kwenda kuishi nchi nyingine
ila kijasho kilinitoka kupiga fix kubaya ukifumaniwa nyie acheni tu
Duh! mkuu uanze kusema za DFP bana lol!
Kuna jamaa tulikuwa tunacheza nae pool akawa anatongoza demu la ovyo tu mpaka kuchukua namba yake ya simu,baadae akapitiwa na mkewe warudi nyumbani wote tukabaki midomo wazi yaani bonge la mwanamke uzuri/shepu tukashangaa mtu ana kifaa hiki home anahangaika na wauza sukari yaani wanaume we acha tu.
Mkuu kuna uwongo unaoweza kufanana na ukweli huoni hapa jamaa kazidisha ?