Uwongo noma

Kama mshaonesha kupendana hapo ukweli unahusika we mfungukie ukweli na 7bu za kumdanganya kama muelewa itakua sio ishu kubwa lakin kama na yeye ndio walewale hapo itakuwa tatizo
 
Wapendwa thanx kwakunipa moyo namwambia ukwel leo hii ila nitawapa majibu kesho
 
Jidaii kama ulikua unamtania then unaanza kumpa stori kuhusu ww za ukweli!sizan kama atakulaumu cz unaeza ulikua na sababu za msingi za kumdanganyaa
 
Jaman nilikutana na mtu nikamdanganya jina, napoishi na hadi kila kitu katika maisha yangu nilijua kawaida yao wanaume tongoza tongoza. Kumbe jamaa yupo serious namie nimeshaanza kumpenda na anataka kuja home nashindwa nianzaje kumwambia ukweli hadi naogopa.

Mdanganye kuwa sio wewe ni pacha wake na amesafiri hayupoo
 
Uwii sijui ndio nimeachwa jana amekasirika sana aliniambia siku zote izo ulikuwa unanidanganya na akaondoka leo kanipa hi ya kawaida na ratiba ya huduma anaagizia mdogo wake afanye sijui ndio ananikwepa
 
we kwa nini udanganye? unaona sasa umekwama haya sasa mwambie ukweli mwenyewe
 
Uwii sijui ndio nimeachwa jana amekasirika sana aliniambia siku zote izo ulikuwa unanidanganya na akaondoka leo kanipa hi ya kawaida na ratiba ya huduma anaagizia mdogo wake afanye sijui ndio ananikwepa

Mh!! Yani alishagundua kwamba unamdanganya nae akakudanganya kuwa anataka kuja home aone utafanyaje... Pole shosti wala usihuzunike hakuwa wa kuja home huyo.
 
Uwii sijui ndio nimeachwa jana amekasirika sana aliniambia siku zote izo ulikuwa unanidanganya na akaondoka leo kanipa hi ya kawaida na ratiba ya huduma anaagizia mdogo wake afanye sijui ndio ananikwepa

Daty mpendwa wangu, ni huduma gani hizo ulikuwa unampa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom