Uwongo noma

Daty

Senior Member
Jul 1, 2011
126
195
Jaman nilikutana na mtu nikamdanganya jina, napoishi na hadi kila kitu katika maisha yangu nilijua kawaida yao wanaume tongoza tongoza. Kumbe jamaa yupo serious namie nimeshaanza kumpenda na anataka kuja home nashindwa nianzaje kumwambia ukweli hadi naogopa.
 
Keen

JF-Expert Member
Sep 27, 2007
618

"What goes around comes around"
 
princetx

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
589
500
Ukweli siku zote humuweka mtu huru, na uongo ni sawa na kujifunga minyororo ya utumwa.
Mwambie ukweli ili uwe huru.
 
Daty

Senior Member
Jul 1, 2011
126
195
Ukweli siku zote humuweka mtu huru, na uongo ni sawa na kujifunga minyororo ya utumwa.
Mwambie ukweli ili uwe huru.

lazima nimwambie ila sasa atanichukuliaje maana hadi jina na mkoa ninaoishi nilidanganya
 
DEMBA

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,250
2,000
mbona ni kitu kidogo tu hicho. kama ni muelewa atakuelewa. maana huwezi kufunguka tu kwa mtu usiyefahamu, dunia imechafuka hii, mwambie ulifanya hivyo kwa usalama wako kwa kuwa hamkuwa mnafahamiana.............
 
Ndeye

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
214
0
Wewe mwambie tu atakuelewa na umpe sababu za kumdanganya pia kama ni mwelewa ataelewa.
 
Ushimen

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
28,292
2,000
Jaman nilikutana na mtu
nikamdanganya jina, napoishi na hadi kila kitu katika maisha yangu
nilijua kawaida yao wanaume tongoza tongoza. Kumbe jamaa yupo serious
namie nimeshaanza kumpenda na anataka kuja home nashindwa nianzaje
kumwambia ukweli hadi naogopa.

Don't regret to cheat the guy. Just Tell him the truth, and that's should show to him that you're not the EASIEST GIRL.
 
Rodgers

Senior Member
Nov 25, 2009
138
225
Jaman nilikutana na mtu nikamdanganya jina, napoishi na hadi kila kitu katika maisha yangu nilijua kawaida yao wanaume tongoza tongoza. Kumbe jamaa yupo serious namie nimeshaanza kumpenda na anataka kuja home nashindwa nianzaje kumwambia ukweli hadi naogopa.

Endelea kumdanganya tuu, usichoke baadaye atagundua mwenyewe kuwa unamdanganya
 
obedson

Member
Jan 20, 2010
29
45
Mhh, namhurumia huyo jamaa, atazoa janga, lazima utaendeleza tu tabia yako ya kumdanganya hata ukiingia kwenye ndoa. Bora astuke mapema.
 
Blessed

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
3,129
2,000
Bottom line hapa ni kumwambia ukweli na ueleze sababu za kusema uongo in previous meeting ataelewa tu.
One more thing do not delay on admitting this ,the more you delay the more difficulty is going to you,if you guys you are ment to be together nothing will come in between,all ze best,
usisite kuleta feedback jamvini once things are settled
 
Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,464
2,000
Jaman nilikutana na mtu nikamdanganya jina, napoishi na hadi kila kitu katika maisha yangu nilijua kawaida yao wanaume tongoza tongoza. Kumbe jamaa yupo serious namie nimeshaanza kumpenda na anataka kuja home nashindwa nianzaje kumwambia ukweli hadi naogopa.

Ukishakuwa muongo toka day one hakika utaendelea kuwa muongo maisha yako yote....wewe ni muongo na ukimwambia tu kuwa ulikuwa unamdganaya wakati mumekuwa mkiwasiliana zaidi ya miezi sasa hakika hatakuamini kamwe..na utaendelea kuwa muongo tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
909
500
bola umwambie ukwel na umpesababu za kutosha kwanin ulifanya hivyo..ukiendelea kuficha akaja kugundua utakosa vyote mama..ndoa siku izi adim wengine wanataman hata wakuwadandanya na neno ndoa ila hawapati.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom