Uwongo noma

Jaman nilikutana na mtu nikamdanganya jina, napoishi na hadi kila kitu katika maisha yangu nilijua kawaida yao wanaume tongoza tongoza. Kumbe jamaa yupo serious namie nimeshaanza kumpenda na anataka kuja home nashindwa nianzaje kumwambia ukweli hadi naogopa.

mwambie ulimdanganya, ulifikiri hajupo sirias. nawe ulitaka kupoteza nae time tu. hakika atakuelewa kama anakupenda kweli. akisepa so ndio wale wale
 
mwambie ukweli. usikute naye anakudanganya. halafu hii tabia ya kujipeleka kwa bf kuhudumia/kuhudumiwa inawagharimu wengi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom