amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,169 Reaction score 31,356 Dec 16, 2012 #1 Nimekuja kuwasalimia kabla hawajanifunga maana leo kuna lijitu limenichokonoa.....
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,314 Reaction score 111,504 Dec 17, 2012 #2 amu said: Nimekuja kuwasalimia kabla hawajanifunga maana leo kuna lijitu limenichokonoa..... Click to expand... limekuchokonoa sehemu gani ya maungo ya mwili wako....?? karibu JF mgeni in advance....
amu said: Nimekuja kuwasalimia kabla hawajanifunga maana leo kuna lijitu limenichokonoa..... Click to expand... limekuchokonoa sehemu gani ya maungo ya mwili wako....?? karibu JF mgeni in advance....
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Dec 17, 2012 #3 Hahaha, unajitabiria kifo na kumpa offender wako ushindi? Dawa ya anaekuudhi ni kumcheka. Anakasirika yeye na wewe unapeta tuuuu.
Hahaha, unajitabiria kifo na kumpa offender wako ushindi? Dawa ya anaekuudhi ni kumcheka. Anakasirika yeye na wewe unapeta tuuuu.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,959 Reaction score 13,935 Dec 17, 2012 #4 Karibu sana JF.
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,105 Dec 18, 2012 #6 Nawewe kamchokonoe,karibu.