DOKEZO Uwiano usio sawa wa walimu shule za msingi Moshi manispaa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi.

Kuna shule Zina idadi ndogo ya wanafunzi lakini walimu ni wengi kuliko shule zenye idadi kubwa ya wanafunzi.

Hii inapelekea shule hizo kufanya vibaya kitaaluma kwani walimu hao huwa na vipindi vingi ambavyo kimsingi havifundishiki vyote Kwa ukamilifu uliotakiwa.

Idara ya elimu msingi watimize wajibu wao bila bahasha za kaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…