Uwezo wa Toyota Passo

Uwezo wa Toyota Passo

mkada

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
1,200
Reaction score
909
Wakuu naomba msaada,,,nina ka gari kangu Toyota Passo cc 1000 nataka kwenda nacho home Mwanza toka Dar kwa ajili ya kula sikukuu ya XMASS,,nauliza kama gari hii inaweza kustahimili hii safari bila kulazimika kulala njiani kwa ajili ya kupumzisha injini.Karibuni Mwanza,,the Rocky City.

Your Advice is highly appreciated in advance.
 
Mkuu hiyo gari Mwanza inafika lakini ni
lazima uende spidi za kawaida pia uwe
na vituo vya kutosha njiani kusimama.

Ili kuruhusu injini kupoa kiasi lakini huko
njiani utakuwa unakimbizana kwa spidi na
usitegee kamwe kuiona Mwanza.
 
Thanx bro,,,uwezo wake wa kutembea bila kusimama ni km ngapi mkuu?manake nawaza kama nitalazimika kusimama moro,dodoma, singida na shinyanga,,,sasa si nitafika baada ya siku mbili mkuu,,au kupumzisha ni muda gani?
 
mdau, gari yako inakufikisha mwanza bila wasi wasi. jihakikishie tu kama service zimefanyaka ipasvyo. check breaks. na uwe na tairi zinazofaa
 
Inafika pasi mashaka yote kama gari ni nzima na imefanyiwa service vizuri. Nshaenda Arusha na hicho kidude nilisimama maro moja tu Korogwe pale kupata msosi na mzinga wa konyagi.
 
Nashukuru sana mkuu kwa majibu yenu waku.
 
Nashukuru sana mkuu,,manake kuna watu walikuwa wananiambie eti cc 1000 ni kama pikipiki tu,,duu nikasema sasa imekula kwangu.
Inafika pasi mashaka yote kama gari ni nzima na imefanyiwa service vizuri. Nshaenda Arusha na hicho kidude nilisimama maro moja tu Korogwe pale kupata msosi na mzinga wa konyagi.
 
Nashukuru sana mkuu,,manake kuna watu walikuwa wananiambie eti cc 1000 ni kama pikipiki tu,,duu nikasema sasa imekula kwangu.
Mkuu washa gari moto hiyo, tambaa zako Rock City. Angalizo ni moja tu kuwa kama gari ni nzima na inafanyiwa service vizuri. Bahati nzuri zaidi ni kuwa hilo angalizo si kwa ajili ya Passo tu, hata Land cruiser, Range Rover, Helicopter na chochote kitumiacho mafuta, shurti kifanyiwe hiyo makitu.
 
Mkuu hiyo gari Mwanza inafika lakini ni
lazima uende spidi za kawaida pia uwe
na vituo vya kutosha njiani kusimama.

Ili kuruhusu injini kupoa kiasi lakini huko
njiani utakuwa unakimbizana kwa spidi na
usitegee kamwe kuiona Mwanza.
Mkuu magari hayahitaji kupumzika labda dereva awe amechoka.
 
Acha bangi mkuu,,wenzio tumeshaacha.
Kweli usichokijua...usiku wa kiza. Badala ya kuwashangaa watu wanaokwambia gari inabidi uipumzishe itapata moto sana, unanishaangaaa miye? Kwa taarifa yako gari ikishafikisha operating temp(about 5 - 10min) haijarishi umbali utakao endesha joto litakuwa likicheza anga hizo hizo, unless injini yenyewe mbovu. Unaweza endesha mwezi mzima bila kulizima na gari itakuwa safi kabisa.
 
Hiyo gari inafika mwanza bila kuipumnzisha popote. ondoka dar kunywa chai morogoro ama dumila, ukifika singida kula msosi wa mchana muda wewe unasoso na gari inapumnzika. safari njema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom