Uwezo wa Malkia Elizabeth wa Uingereza

Uwezo wa Malkia Elizabeth wa Uingereza

3squere,
Haya hapa chini, yote umeeleza kwa rai yako, au kwa mawazo yako lakini hayako hivyo. Karibu tujadili au tusahihishane:

5. Ana ATM mashine yake binafsi ya kutoa ela.
6. Bila ruhusa yake hakuna muswada utapitishwa kuwa sharia.
8. Ana uwezo wa kumuonya waziri yoyote, na hata kumwajibisha.
10. Ukiacha ukuu wake katika UK na Australia pia anaongoza nchi zifuatazo Antigua and Barbuda, the Bahamas, Barbados, Belize, Canada, Grenada, Jamaica, New Zealand, Papua New Guinea, Saint Kitts and Nevis, Saint Lucia, Saint Vincent and the Grenadines, Solomon Islands, na Tuvalu.
12. Ana uwezo wa kuivunja serikali ya Australia.
14. Anamiliki ndege aina ya swans, kongoro katika mto thames.
15. Anauwezo wa kumteuwa spika kwa amri yake .
 
Inashangaza kwamba wazungu pamoja ukweli kwamba ni jamii iliyoelimika zaidi wanaweza kuruhusu ujinga kama huu kuendelea,kwamba ukoo mmoja unatawala nchi vizazi na vizazi!

Wanaamini ukoo huo ndiyo ulikuwa na maono mapana na kuwasaidia kutawala dunia na kuchuma mali zote dunia nzima, na hadi sasa wanaendelea kuchuma kutokana na misingi waliyowekewa na ukoo huu. Angalia jinsi Falkland wanavyochimba mafuta na gesi na kwingineko wanaendelea kunufaika na madini na rasilimali nyingine, including Tanzania. Kwahiyo ni heshima kwao kuwa na ukoo uliokuwa na maono mapana na wakizingatia maslahi ya nchi yao. Ingawa ukweli ni kwamba kuna mali nyingi ambazo ukoo huu ulijitwalia kama akiba ya dhahabu anayoimiliki huyu bibi ambayo iliibwa maeneo mbalimbali duniani. Ni miongoni mwa ukoo tajiri sana kutokana na plundering waliyoifanya karne na karne kote duniani, ikiwemo Tanzania.
 
100%, yuko sahihi, na Dunia inajua huo ndio ukweli..!! Kifo cha Diana Princess of Wales, kiligusa sana nyoyo za watu duniani.. inaumiza sana..!! Kumbuka Diana akiwa msichana mbichi, mwanzoni hakutaka kabisa kuolewa ktk Familia ya Malkia, but kutokana na mashinikizo ya Malkia na wao ndio wenye nguvu UK, basi tena akakubali, ila Prince Charles atalipwa na Mungu, he is the source of all evils juu ya Diana... hata watoto wake wote wawili wa kiume William na Harry, wanajua huu ukweli.. leo ni watu wazima ila hawatasahau unyama aliofanyiwa mama yao.. na Charles asivyo na hata aibu akamuoa CAMILLA na sasa ni mkewe... na Malkia akaruhusu yote haya.. Inauma sana..!!
Mengine yote upo sahihi. Lakini hili LA Diana Kulazimishwa kuolewa ukoo wa ufalme I doubt, kuna mahali nilisoma walisema kwamba tangu akiwa shule Diana alikua na dreams za kuolewa na ukoo wa ufalme kiasi cha kufikia kubandika picha za prince Charles kwenye kitanda chake bwenini.
 
Back
Top Bottom