Uwezo wa Malkia Elizabeth wa Uingereza

100%, yuko sahihi, na Dunia inajua huo ndio ukweli..!! Kifo cha Diana Princess of Wales, kiligusa sana nyoyo za watu duniani.. inaumiza sana..!! Kumbuka Diana akiwa msichana mbichi, mwanzoni hakutaka kabisa kuolewa ktk Familia ya Malkia, but kutokana na mashinikizo ya Malkia na wao ndio wenye nguvu UK, basi tena akakubali, ila Prince Charles atalipwa na Mungu, he is the source of all evils juu ya Diana... hata watoto wake wote wawili wa kiume William na Harry, wanajua huu ukweli.. leo ni watu wazima ila hawatasahau unyama aliofanyiwa mama yao.. na Charles asivyo na hata aibu akamuoa CAMILLA na sasa ni mkewe... na Malkia akaruhusu yote haya.. Inauma sana..!!
Umeshaanza adakabla hapa...
Alishinikizwa na nani kuolewa wakati tangu akiwa shule akikua na dream hiyo ya kuolewa na familia ile..!!
 
Lakini yeye hatumii madaraka yake vibaya kama hawa tunaowachagua kwa sanduku la kura.
 
Kuna mwaka mkate ulipanda bei nchini mwake raia wakaandamana akauliza kulikoni, akaambiwa mkate umepanda bei, akasema siwanunue keki. Binadamu ni yuleyule kama ilivyo ccm
 
Kuna mwaka mkate ulipanda bei nchini mwake raia wakaandamana akauliza kulikoni, akaambiwa mkate umepanda bei, akasema siwanunue keki. Binadamu ni yuleyule kama ilivyo ccm

Mkuu:
Hii kali ya mwaka. Her Majestic ametoa mpya, au huko kwa wenzetu keki inauzwa rahisi kuliko mkate?
 
Kuna mwaka mkate ulipanda bei nchini mwake raia wakaandamana akauliza kulikoni, akaambiwa mkate umepanda bei, akasema siwanunue keki. Binadamu ni yuleyule kama ilivyo ccm
Ah ah ah ah ah..km hawawez kulipa nauli basi wapigembizi
 
100%, yuko sahihi, na Dunia inajua huo ndio ukweli..!! Kifo cha Diana Princess of Wales, kiligusa sana nyoyo za watu duniani.. inaumiza sana..!! Kumbuka Diana akiwa msichana mbichi, mwanzoni hakutaka kabisa kuolewa ktk Familia ya Malkia, but kutokana na mashinikizo ya Malkia na wao ndio wenye nguvu UK, basi tena akakubali, ila Prince Charles atalipwa na Mungu, he is the source of all evils juu ya Diana... hata watoto wake wote wawili wa kiume William na Harry, wanajua huu ukweli.. leo ni watu wazima ila hawatasahau unyama aliofanyiwa mama yao.. na Charles asivyo na hata aibu akamuoa CAMILLA na sasa ni mkewe... na Malkia akaruhusu yote haya.. Inauma sana..!!
william na harry mama yao nani?
 
malkia ana asasi nyingi duniani ila kwa africa sijasikia sababu haipo duniani!kama uingereza vilema na watoto yatima wanakula bata kishenzi kila kitu wanapewa wanachotaka.ingawa uk watu wanalala mitaroni na waizi ni wengi ila hali yao ya uchumi iko imara kuliko tz
 
Princess Diana alikuwa mjamzito tayari, alipoanza mapenzi mazito na Dodi Al Fayad, mtoto wa tajiri wa asili ya kiarabu wa UK..

Camilla, ndio alisababisha yote haya ktk familia yake Diana na mumewe kusambaratika, baada ya Princess Diana kulalamika sana kwa Malkia, jinsi mumewe anamtesa kimapenzi anamuona kama house girl, na anachepuka kwa malove ya nguvu na Camilla, lakini Malkia alishindwa muonya mwanae Prince Charles.. Prince Charles mapenzi yalikolea kwa Camilla, jua Camilla, alikuwa mpenzi wa Charles kabla hajamuoa Princes Diana, mambo yalizidi kuwa mabaya ndani ya Kasri la Malkia, Diana Princess of Wales akaamua kuondoka, na kujitenga, bahati mbaya akiwa na hasira ya mapenzi na kama yuko confused hv, akaanza mapenzi na Dodi Al Fayed, na kushika UJAUZITO, huku akiwa ktk mapenzi na Dodi, Familia ya Malkia ilichukia sana sana, kuona familia hii wanaoichukulia ni takatifu kwa mila zao, Princess of Wales ana mimba ya mtu mwingine... Basi tena, ikatafutwa namna aibu kuu hii isiifikie Familia ya malkia, mipango ikapangwa, ikaonekana ni kumundolea uhai wake tu...

Basi 1997, ajali ikatengenezwa, Princess Diana na Dodi, walifariki ktk ajali ya gari Paris, France 1997 ikawa mwisho wa maisha yake duniani, Mungu ana mengi sana siku ya mwisho... ndio HIVYO SIKU YA MWISHO MUNGU ATALIPA KILA MTU KWA UJIRA ULIOFANYA DUNIANI..!!

Wenye dhambi, duniani ni watakatifu, walio wema
na wenye haki ktk dunia hii ndio WANAMALIZWA NA KUTEKETEZWA...!!
KARMA LAZIMA ITAJITOKEZA TU!
 
Diana alikuwa sahihi kukataa tangu mwanzo angeweka msimamo ingekuwa sawa ila baadae alipoingia kwenye mahusiano na yule mmisri ndipo alipoharibu maana kwa vyovyote mtoto angezaliwa angekuwa na sehemu katika ufalme jambo ambalo lingeleta shida kifupi unapoamua kuingia kwenye hizi familia kubwa jua kabisa utapoteza Uhuru kwa kiasi kikubwa na hutaishi unavyotaka bali wanavyotaka
Na ndivyo bible inasema. Daud na Uria
 
Kama siyo Amir Jeshi mkuu wa jeshi lao basi huyo ni kama mbwa hasiye na meno hana mamlaka au ndiye aliyeruhusu majeshi kwenda Iraq
 
Back
Top Bottom