Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,932
Acha ujinga wewe, nani amekwambia maji ya baraka yanauzwa ?Wakristo mtaibiwa mpk muje kuzinduka mushatajirisha watu wengi kupitia kudanganywa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe, nani amekwambia maji ya baraka yanauzwa ?Wakristo mtaibiwa mpk muje kuzinduka mushatajirisha watu wengi kupitia kudanganywa
na wewe kwanini unalala saa nne! kama ni kijana kapige k vantHayajakukuta mkuu!
Uko sahihi mkuu.Mkuu nenda kapime malaria.Mimi nikianza kuota ndiyo za kutisha huwa napima malaria. Always nakutwa ninayo.
Ndoto hizo asilimia kubwa haziusiani na nguvu za giza...kuota watu waliokufa hasa ndugu zako kwa mfano babu,bibi,baba,mama au ndugu aliyekua anakupenda sana ina maana kua unatakiwa kuwakumbuka kadiri ya imani yako..
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Ni. Mkatoliki halafu hujui kutumia hayo maji? Hayo maji nyunyuzia kwa kutumia mkono kila siku nje na ndani ya nyumba na hata hapo kitandani huku ukisema maneno ya Mungu yanayohusiana na hiyo hali iondoke, wengi hayo maji yametusaidia sana