Uwezo wa maji ya baraka kupambana na nguvu za giza

Imani yako umeweka Kwa vitu, Weka IMANI Kwa YESU.
Mkabidhi maisha yako, anauza kuishi Maisha Matakatifu. Soma Biblia Kila siku, Jifunze kuomba kidogo kidogo dk 2,3,20, 40 hadi zaidi ya lisaa. Tatizo Lako litakua historia
 
Ni. Mkatoliki halafu hujui kutumia hayo maji? Hayo maji nyunyuzia kwa kutumia mkono kila siku nje na ndani ya nyumba na hata hapo kitandani huku ukisema maneno ya Mungu yanayohusiana na hiyo hali iondoke, wengi hayo maji yametusaidia sana

Asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom