Uwezo wa kufikiri Afrika umekomea hapa?

Ukitengeneza chombo cha kuruka kama ndege kwanza utadhibitiwa na serikali kwa uhalifu, kama si ugaidi kabisa.

Mfumo wetu hauna inclusivity.

Mtoto mdogo shuleni akija na mfumo mpya wa kufanya vitu, lazima achapwe sana.
Bila kujali mfumo wake unafanya kazi au haufanyi.

Kwa sababu tu hajafuata mfumo uliopo.

Tangu hapo tunaua creativity.
 
Dunia Ina Move from 0 to 1. Wewe unataka U move from 1 to 0. Maana Yake hapa huwezi ibadili dunia kwa Ku copy copy. Tengeneza kitu kipya Ndege zishatengenezwa na Zina Copyright protection
 
Kama huna vitabu na maabara ya kukusaidia kubuni vifaa, njia mbadala ni kuchunguza kifaa ulichonacho kinafanyaje kazi. Watoto watundu wanaweza kufungua simu, redio au saa na kuangalia mpangilio mzima. Sasa miaka 25 hujawahi kumiliki chochote zaidi ya makubazi na kitanda unacho lalia na mdogo wako.
 
Mkuu wewe hata pamba stik unaweza kuimake?
 
Wakuu nimetafakari Sana kwa Sasa Nina miaka 29 kwanini had Sasa Sina uwezo wa kutengeneza chombo kama ndege, kikaruka hewan

Hivi uwezo wetu afrika ulikomea hapa. Masomo ya darasani tunasoma tu theory za wazungu chanzo ni nini?
chini ya kitovu.
 
Mkuu hebu shangaa kidogo pale elimu yetu inapotumia muda mrefu kumfundisha mwanafunzi kutumia calculator badala ya kuwaza kutengeneza ili kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Yaani kutengeneza ili tuzitumie kwa urahisi.

Kuwa na bajeti kubwa ya kuwezesha askari wetu kupambana na wanasiasa badala ya kuwekeza kwenye elimu ili wananchi waelimike wasiweze kudanganywa na wanasiasa.

Ukitengeneza gobole la bunduki misukosuko utakayoipata utaomba dunia ifike mwisho.

Kifupi bila elimu hakuna tunachoweza kufanya kama taifa. Viongozi wengi wa afrika wanaona fahari kurithisha vijana wao propaganda za siasa na chuki badala ya fikra za mageuzi kwenye mifumo ya kiteknolojia na ugunduzi.
 
Hahaha et Dunia ifike mwisho mkuu haha
 
Dunia Ina Move from 0 to 1. Wewe unataka U move from 1 to 0. Maana Yake hapa huwezi ibadili dunia kwa Ku copy copy. Tengeneza kitu kipya Ndege zishatengenezwa na Zina Copyright protection
Huo ni mfano tu ametoa kama sijakosea.
Hata hivyo technology ipo kwa kirahisisha maisha na kuipendezesha.
Kufanya jambo kwa urahisi na haraka huku efficiency ikiongezeka.

Hata kwenye mgano wake yapo mengi yanayoweza kufanyika nanugunduzi huo ukatambulika na kuwa acknowledged

Fikiria kuhusu speed, confortability, umbo/size, njia bora za kiwasiliana, usalama wa chombo na abiria inapotokea hitilafu nk.

Ugunduzi hauna mipaka, ila elimu yetu inatufanya tusifikirie chochote juu ya kile kilichofanywa na wengine tayari.
 
Back
Top Bottom