Uwezo wa internet kwa cm za samsung chart!

Hansy wa East

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
447
230
Bandugu naomba kupata uelewa maana nimenunua samsung chart 5720 ila tatizo uwezo wake wa kusurf net naona kama ni mdogo sana wakati ina 3g sasa kwa yeyote mwenye uelewa na hili anisaidie jinsi ya kuiongezea uwezo wa kukata mawimbi! Ahsante
 
browser
Browser ya simu ndogo kama hizo mara nyingi zinakua slow tafuta operamini ili kuboost speed kutokana na technologia yao nzuri ya kuboost data

aina ya 3g
Si simu zote zina 3g ya fasta sometime zinaekwa kama jina hasa samsung wana tabia hiyo (0.9)mbps au 1.8mbps

kuseti 3g
Simu ikiwa ina 3g sio kwamba ukitumia tu ni 3g inawezekana seting umeeka utumie 2g nenda setting kwenye option ya network eka 3g (samsung wanatumia neno tri band kama 3g pia)

speed ya bundle/aina ya network
Sometime bundle nyengine zimelimitiwa speed au kuna wakati network flani maeneo flani ina tabia ya kua slow
 
asante sana u hlpd me thana
 
Back
Top Bottom