Uwezo mwingine wa Heaven On desert

Uwezo mwingine wa Heaven On desert

heaven on desert

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
1,025
Reaction score
393
shelf.jpg Graffiti_wallpapers_177.jpg we.jpg jokate-artwok.jpg jokate as maraika in forest.jpg twiga akipiga pas nguo yake.jpg youngdee-monster.jpg logo.jpg kili2.jpg kifesi.jpg youngdeee.jpg tricy.jpg


Ukiacha upigaji picha,ku kurun social networks na mengineyo..lakin pia,hiki ni moja ya uwezo nilionao
ambao sikuusomea,ilinibid kujifunza ili niwe na uwezo wa kufanya vitu vingi
kwa wakati mmoja...
kwa maoni na ushauri kuhusu hizi artwork,..niguse 0762052850
 
Tutajuaje kama ni wewe?

Huu nao ni uwezo?

una run social networks zipi?

BTW hizo picha hazina mvuto na they are too local

labda lete kipaji kingine tu evaluate kwa hivyo umefeli.....
 
Hili ni jukwaa la celeb usituletee uchoko wewe siyo celeb tafuta jukwaa la kupost huu ushuzi wako.
 
Kiroho safi mimi napenda sana talent yako hasa kwenye graphics na jinsi unavyo manipulate picha. Hongera sana kijana.
 
Tutajuaje kama ni wewe?

Huu nao ni uwezo?

una run social networks zipi?

BTW hizo picha hazina mvuto na they are too local

labda lete kipaji kingine tu evaluate kwa hivyo umefeli.....
We tunakujuwa....
 
Kiroho safi mimi napenda sana talent yako hasa kwenye graphics na jinsi unavyo manipulate picha. Hongera sana kijana.

sawa ha2jakataa.. Je uselebriti kaupata lini!iv ata mtaan kwenu kuna anaemjua uyu mbugila?!mods lazma mcontrol hii k2..,vingnevo definition ya celebrity inapotea mchana kweupe
 
Back
Top Bottom