uwezi kuamini uyu binti mrembo alizaliwa akiwa mvulana akajibadilisha kuwa mdada mrembo

Akisha pata mikito ya kufa mtu atapenda tena kuwa kadume,nyambaaaafuuuuu
 
Mh wazazi wake walikuwa wanataka awe mwanamke au yey mwenyewe..?
 
Sikutegemea nikutane na post ulio tukana!!!

A man who gains victory over him/her self is the strongest of all!!!

Wanaudhi kumkosoa Mwenyeezi Mungu, ikiwa wanaume wanajigeuza kuwa wanawake, wanatutafutia balaa tu za kuwa na wake wenza hao, maana hivi tulivyo tuko wengi kuliko wanaume sasa na wao wakiongezeka kwetu huku si balaa hilo?
 
Back
Top Bottom