Uwekezaji mzuri kwenye dhahabu

ommytk

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
482
1,053
Wadau Habari za leo naomba leo niwaelezee namna uwekezaji kwenye dhahabu ambao kidogo hauna risk kubwa kama unataka kuingja kwenye biashara ya dhahabu uwekezaji upande wa service huu mzuri sana unachotakiwa kuanzia tafuta kitu kinaitwa crusher hizi inategeme na eneo zipo kuanzia 9m mpk 15m

Pambana upate mbili kama una nguvu nzuri

Tafuta eneo la kujenga mwalo wako iwe kukodi au unanunua

Utendaji Kazi sasa

Wewe kazi yako unakuwa unasaga mawe pale ya wananchi wanalipa na na wanakuachia mchanga kwa ajili ya marudio nawewe unakuwa na mtaji kununua mawe yako unasaga kupata dhahabu ambayo itaendesha maisha pale na kubaki na rudio

Baada rudio kuwa jingi sasa ndio unapeleka plant uko kupata dhahabu yako

Hii kazi nafuu kiasi kuliko kuchimba

Na inatakiwa ujitahidi kukusanya marudio lundo kila baada miezi mitatu unaingia plant aiseee maisha yako yatabaki history

Mungu awabariki na wote wenye nia Kuhusu dhahabu kazi ni hiy
 
Yanu huku ukilundika kifusi chako majamaa wanakuja wanakuambia unataka gari gani tukupe utupe kifusi unasikia jamaa anasema npe kluger na uongeze m10 maboss hata hawabishi wanamaliza biashara mapema sana kwa sababu kifusi huwa kinapimwa kabsa na kimachinee uhakika wa dhahabu upo %100
 
Wengi waliacha kuuza marudio. Anaenda mwenyewe plant hadi elution. Anauza dhahabu. Wanapiga sana pesa. Akiuza basi kanakuwa kadogo sana.
 
Motivational speakers wanaliangamiza taifa

Kwenye huu uzi unashauri watu waingie kwenye dhahabu tena kwa pesa chini ya 2M huku unapinga wasiingie, unaelewa unachokiengelea wewe?
 
Hizi ni nyuzi na kazi 2 tofauti. Crusher inapiga mfuko 1 kwa dk 30 kama jiwe laini, jiwe gumu dk 40-60. Kwa siku wastani wa mifuko 20, tipper linajaa mifuko 200.
Ili uingie plant kama rudio linasoma vizuri 5ppm unaweza kuzungusha tank 20 na kwenda elusion iwapo ppm ya carbon itakuwa nzuri, tank 1 linakula tipper 2.5 ya marudio. Unahitaji tipper za Tani 18 kuanzia 45 ili uende plant, kama ppm chini ya 3.5 ambapo ndio wastani wa maeneo mengi kwa tz utahitaji at least tank 30.
Kama unasaga daily na ppm above 4 unaweza kuzalisha hayo marudio kwa miezi isiyopungua 10-24. Kwenda plant is not lelemama hapo bado hujapiga hesabu ya kupakia na kupeleka hizo lorry 45 @ laki 2+, cyanide 7.5m, carbon 7.5m, maji, lime, mishahara, kukodi plant, elusion 4m na mengine
 
Nimekusoma mkuu.
 
Mimi nafikiri kujenga elution plant, what's your input on that?
 
Nyingi zimetelekezwa kwa kukosa mzigo, unaweza kumaliza miezi 6 hata miaka hujapata wa kuchoma. Wakongwe wengi wenye plant wana elution zao binafsi na kawaida huwezi kupeleka carbon kwa mtu usiyemfahamu

Nimekusoma, na vp uuzaji wa machinery na madawa ya uchenjuaji?
 
Machines kama zipi,. Mlolongo mzima wa biashara ya dhahabu ni ya kujuana na kuaminiana, Kuna wauzaji wanauza carbon, cyanide na chemical reagents zisizo na ubora au feki au zilizoexpire Ili wapige super profit na process ya uchenjuaji kosa moja process nzima inaweza kuharibika na hakuna reverse so wengi wamepata hasara ya mamia ya milioni kwa kutumia dawa zisizo na ubora. Kukwepa haya inaaminika fulani ana hiki kizuri hiki kibaya. Mpaka kuaminika inachukua muda mrefu na huwa inaenda kimkopo
 
Back
Top Bottom