Kama Senga/Rudio lako linasoma PPM 5-7 NA una Tenki kaunzia kumi na kuendelea na huna hio million 20 ya plant na Elution na gharama zingine huwa tunafanya hivi,Hizi ni nyuzi na kazi 2 tofauti. Crusher inapiga mfuko 1 kwa dk 30 kama jiwe laini, jiwe gumu dk 40-60. Kwa siku wastani wa mifuko 20, tipper linajaa mifuko 200.
Ili uingie plant kama rudio linasoma vizuri 5ppm unaweza kuzungusha tank 20 na kwenda elusion iwapo ppm ya carbon itakuwa nzuri, tank 1 linakula tipper 2.5 ya marudio. Unahitaji tipper za Tani 18 kuanzia 45 ili uende plant, kama ppm chini ya 3.5 ambapo ndio wastani wa maeneo mengi kwa tz utahitaji at least tank 30.
Kama unasaga daily na ppm above 4 unaweza kuzalisha hayo marudio kwa miezi isiyopungua 10-24. Kwenda plant is not lelemama hapo bado hujapiga hesabu ya kupakia na kupeleka hizo lorry 45 @ laki 2+, cyanide 7.5m, carbon 7.5m, maji, lime, mishahara, kukodi plant, elusion 4m na mengine
Mtaji wa kujenga plant inayoeleweka kabisa Ni Around million 100 na vibali,Mimi nafikiri kujenga elution plant, what's your input on that?
Mtaji roughly kuanzia kiasi gani kwa mjasiriamali mdogo na wa kati na ROI kwa muda gani na vifaa gani vitahitaji na kuna vibali gani kutoka serikalini?Wengi wamekuwa matajiri ndani ya muda mfupi kwa njia hiyo. Sema ujitahidi kuijua kazi hiyo vizuri na changamoto zake. Nikipata change ntakuja kuifanya.
CIP ni nini mkuu? Na uhitaji wake ni mkubwa au ile unajenga lakini mzigo hamnaMtaji wa kujenga plant inayoeleweka kabisa Ni Around million 100 na vibali,
Elution Ni Around million 500 nakuendelea na vibali
CIP Ni around billion 2.5 na kuendelea
Kama unahela Jenga CIP
Carbon in Pulp,hii ni moja ya njia za uchenjuaji wa madini wa kisasa na unaohitaji uwekezaji mkubwa wa kifedha na kitaalamCIP ni nini mkuu? Na uhitaji wake ni mkubwa au ile unajenga lakini mzigo hamna