Uwe raia mwema au mtu wa madili, Epuka mazoea na askari

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
6,499
Reaction score
18,165
Epukana na mazoea na hawa maaskari. Haijalishi wewe ni raia mwema au mtu wa madili(naeleweka nikisema mtu wa madili). Kutana nao pale palipo na ulazima . Na mazoea yasi extend zaidi ya hapo.. kama mtaala wao unaotumika pale Ccp Moshi kuwafundisha usipobadilika basi epukana tu na mazoea nao. NI Kama akili zao haziko sawa kisaikolojia.

Wengi wana childhood traumas, inferiority complex,Cold blooded murders, Racketeers, mentally retarded with low cunning.
Jaribu ku draw mstari wa mazoea sana. SHIRIKIANA NAO PALE TU PALIPO NA ULAZIMA.
 
Sure
 
Unakila sababu ya kuwachukia mkuu Lakini Tatizo sio ASKARI………. tatizo ni MFUMO na MTAZAMO wa jamii dhidi yao.
 
Lakini hata hiyo jamii imetengenezewa mtazamo huo na mfumo hao maaskari wanaoutumikia.
 
Back
Top Bottom