UFUNUO WA TANZANIA
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 471
- 166
Nipo KIA nimeambiwa uwanja wa ndege wa Dar umefungwa na hivyo tumeshindwa kuondoka hadi ufunguliwe. Hatujaambiwa sababu ni nini?
Kama kuna mwana JF yupo hapo JNIA atujuze kwa nini umefungwa?
Au kuna taarifa za kiintelejensia?
Baada ya nusu saa tuliruhusiwa kuondoka kama saa 7 na dk 20 mchana. Nashukuru wote waliotoa majibu juu ya kilichokuwa kimejili dar. Kweli bila JF maisha hayatakuwa ya furaha hapa TZ.