ulifungwa kwa sababu nimewasiri leo hivo niliitaj ulinzi wa kutosha.asanten kwa kuvumilia. mnaweza kuendelea na safari sasa
hahahhahahah,,....umeua
ulifungwa kwa sababu nimewasiri leo hivo niliitaj ulinzi wa kutosha.asanten kwa kuvumilia. mnaweza kuendelea na safari sasa
Dsm inatakiwa kuwa na viwanja viwili. Kiwanja cha sasa kibakie kwa matumizi ya ndege za ndani na nchi jirani. Uwanja mpya na wa kisasa ujengwe Bagamoyo ama Kibaha. Ni aibu kutua ktk kakiwanja kalioko sasa. Tunaliabisha jina la Mwl. JK Nyerere!
Du Bagamoyo tena jamani???