Uwanja wa ndege Dar waingia 10 bora Afrika

Uwanja wa ndege Dar waingia 10 bora Afrika

Hivi kilichoingia kumi bora ni jengo la huduma au uwanja wa ndege? Kwa uandishi huu ndiyo maana wakiibuka waandishi wachache wenye weledi wa kuchambua mambo wanaitwa "Raia haramu"
Watu wanapotosha. Uwanja kuwa na uwezo wa kuhudumia abilia million 6 haina maana kuwa kuanzia Leo tutakuwa tu napata abilia million 6. So far tutaendea kuhudumia 6 million ingawa with time wataongezeka.
 
Kwanza ni uwongo kusema kwamba jengo la pili lilikuwa limeelemewa na uwingi wa abiria.

Tunaweza kuwa na jengo la kuhudumia abiria milioni 100 lakini tusipate hata abiria milioni 5. Jengo halileti abiria bali ni mwingiliano mkubwa wa shughuli za kiuchumi kati ya nchi moja na mataifa mengi na kati ya wananchi wa ndani ya nchi.
 
Jump to content
Jump to main menu
Search website

Navigate Airmundo

Home
Airports
Blog
News
Destinations
Airlines

Instant services

Cheap flight tickets
Airport taxi service
Airport car rental
Airport car parking
Find accomodations
Things to do

More

About us
Advertise
Contact
We are hiring!

Try changing your search query or try one of the suggestions below!
Go to all Airports
Go to all Blog
Top 10 busiest airports in Africa
What are the largest/busiest airports in Africa?

Africa is a continent on the rise, this also applies to the aviation market. At this moment, Africa is responsible for only 3% of global air traffic, while 17% of the world’s population lives in Africa. In the top 10 largest airports in Africa there are three airports in South Africa, namely Johannesburg, Cape Town and Durban. Many large African airports depend to a great extent on the national airline in the country, known examples are Cairo Airport (EgyptAir), Addis Ababa Bole Airport (Ethiopian Airlines) and Nairobi Jomo Kenyatta Airport (Kenya Airways).
Top 10 largest / busiest airports in Africa, 2016
Position Airport Total passengers
1 Johannesburg OR Tambo Airport* (South Africa) 20.692.780
2 Cairo Airport (Egypt) 16.468.082
3 Cape Town Airport* (South Africa) 10.211.390
4 Addis Ababa Bole Airport (Ethiopia) 8.900.000
5 Casablanca Mohammed V Airport (Morocco) 8.616.787
6 Algiers Houari Boumediene Airport (Algeria) 7.500.000
7 Nairobi Jomo Kenyatta Airport (Kenya) 7.039.175
8 Lagos Murtala Muhammed Airport (Nigeria) 6.694.747
9 Durban King Shaka Airport* (South Africa) 5.220.002
10 Tunis-Carthage Airport (Tunisia) 4.928.438

* April 2016 to March 2017

Sources:

www.airports.co.za
www.faan.gov.ng
www.en.wikipedia.org

Posted on September 1, 2018
Author AirMundo
Flight tickets
Find flights to destination
From
Destination
Departure and return dates
By Expedia
Related content

Top 10 busiest airports in Europe
Top 10 busiest airports in Asia
Top 10 busiest airports in Australia
Top 10 busiest airports in North America
Top 10 busiest airports in South America
Top 10 busiest airports in the UK and Ireland
Top 10 busiest airports in the world

AirMundo.com offers free airport information through its own websites and partners. The use of this data is only permitted for non-commercial purposes, provided that the source is mentioned. Use for commercial purposes requires permission from AirMundo.com, see the disclaimer.
Book flights
Overview
Tanzania na ushamba wa magufuli bado sana
 
View attachment 1170535


Zaidi ya abiria milioni nane watahudumiwa katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere (JNIA) baada ya kukamilika kwa jengo la tatu la abiria (Terminal III), huku jengo hilo jipya likiwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni sita kwa mwaka.

Uwezo wa kuhudumia abiria hao kwa mwaka unaufanya Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kuingia katika viwanja kumi Afrika vyenye uwezo wa kuchukua abiria wengi. Jengo la kwanza la abiria (Terminal 1) lina uwezo wa kuhudumia abiria 500,000 kwa mwaka wakati jengo la pili (Terminal 2) likiwa na uwezo wa kuhudumia abiria milioni 1.5 kwa mwaka.

Hata hivyo, jengo la Terminal 2 ambalo ndilo linatumika kwa sasa limekuwa likilemewa na wingi wa abiria mpaka kufikia milioni 2.6 kwa mwaka. Kukamilika kwa jengo la tatu la abiria kutapunguza msongamano wa abiria kwenye jengo la pili na kurahisisha shughuli za usafiri wa ndani na nje ya nchi.

Akizungumzia mradi huo jana Alhamisi Agosti Mosi, 2019 wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanywa na Rais John Magufuli, Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Patrick Mfugale alisema wazo la kujenga uwanja huo lilikuja baada ya jengo la pili kuelemewa na wingi wa abiria.
Tujaribu kutembea ndio tuandike
klia-airport-in-the-forest.jpeg
 
Ni makosa makubwa kumsahau mtu aliyeanzisha ujenzi wa terminal 3 hii ya kisasa na akaiacha 90% ikiwa imekamilika
Mkuu tunatakiwa kwenda na ala mpya... wale hawakufanya chochote na waliwalea mafisadi!! Wala hakuna atakayekuja akawa na uthubutu...!!!
Sisi ndio watanzania bwana!!
 
Raia wanatekwa tekwa na kuuwawa ben saanane.
Hata jengo liwe la kwanza its still none sense
 
Mkuu tunatakiwa kwenda na ala mpya... wale hawakufanya chochote na waliwalea mafisadi!! Wala hakuna atakayekuja akawa na uthubutu...!!!
Sisi ndio watanzania bwana!!
😂😂😂😂 nyumba haijengwi na fundi bati, kuna waliojenga msingi na ukuta. Ukipiga bati huwezi kusema fundi mwashi hakufanya kitu, kila mtu atakushangaa. Hii ala mpya haifai kwa ustawi wa umoja wa nchi yetu
 
😂😂😂😂 nyumba haijengwi na fundi bati, kuna waliojenga msingi na ukuta. Ukipiga bati huwezi kusema fundi mwashi hakufanya kitu, kila mtu atakushangaa. Hii ala mpya haifai kwa ustawi wa umoja wa nchi yetu
Fundi bati ndio mjenzi... ila likiporomoka linakuwa la fundi mwashi kwa maana likisimama la mfalme likiporomoka la fundi...
 
Ata ingekuwa namba moja duniani, kama maisha ya watanzania ndiyo yanawekwa rehani haina maana kabisa
Yanawekwaje rehani ilhali ni chances za ajira hizo kwa kada mbalimbali. Fafanua plz
 
Back
Top Bottom