Hi,uwanja huu ni kati ya viwanja bora EAZ na hu2mika kwa ligi mbalimbali.,na huingiza takribani mashabk 10000,lakni KUANZIA MIDA YA SAA MOJA NA NUSU JIONI ukipita maeneo ya uwanja huu utatamani ulie kwa uchafu unaotendeka hapo.,kuna mabinti zaid za 70 utawakuta wamejipanga hapo na vichupi vyao wanatafuta riziki...dah kwel end of the world is nearly to come...wewe hli unalionaje? UPDATEDBOY