Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup: Simba SC Vs TP Mazembe

hakuna ligi ya hivyo mkuu, usijifaliji kwa ujinga wa namna iyo ligi mdhamini wake ni nani (mwamedi) mc wa shughuri (manara)

ligi upumbavu
Kwahivyo unateseka na lipi hapo? Mdhamini au Mc..

Okay mwakani tutamchukua Mdhamini wa Calendar na Mc atakuwa yule aliyekula mvua tatu
 
wewe ni liutopolo likubwa kabisa, huu ujinga wa kusema ili iwe ligi lazima kuwe na mdhamini umeupata wapi? Hivi unajua maana ya ligi?
ligi ni mashindano baina ya vilabu vya soka kwa muda flani wakigombea kikombe/ubingwa

ivi ndondo cup na mabonanza si ligi asa yanatofauti gani ha hili la nyau
 
Karibia wachezaji wote wanaotoka Yanga na kwenda Simba, huishia tu kusugua benchi! Kuanzia Ajibu, Gadiel Michael, Morrison, Benno Kakolanya, nk!

Ila wakitoka Simba na kuja Yanga, huwa moto balaa! Kuanzia Kelvin Yondani, Amis Tambwe, Dida, Ajibu, na wengineo wengi. Hii inamaanisha Yanga ina uwezo mzuri wa kuwajenga na kuwatumia vizuri wachezaji kuliko Simba.
Maana nyingine Simba INA wachezaji wa kiwango CHa juu ndio maana wakienda Yanga wanatamba.Kumbuka wanaenda wakiwa wameshachezea Simba, huwezi kusema wanakuzwa Huko.

Na Yanga INA wachezaji wa viwango vya chini ndio maana Wakienda Simba wanashindwa kutamba.
 
Maana nyingine Simba INA wachezaji wa kiwango CHa juu ndio maana wakienda Yanga wanatamba.Kumbuka wanaenda wakiwa wameshachezea Simba, huwezi kusema wanakuzwa Huko.

Na Yanga INA wachezaji wa viwango vya chini ndio maana Wakienda Simba wanashindwa kutamba.
Maana sahihi ni hii; Yanga inajua kuwatumia vizuri wachezaji kuliko timu yenu ya Simba.

Ajibu alipotoka Simba alikuwa ni mchezaji wa kawaida tu. Alipokuja Yanga akang'aa na mwisho wa siku mlivyo mchukua tena, amerudi kule kule!!

Hali hiyo imemkuta pia Gadiel Michael! Tambwe mlimuacha kwa kushuka kiwango! Alipokuja Yanga, shughuli yake mliiona!!
 
Hajui kwamba ligi ya Zanzibar inachezwa bila wadhamini
Hata bara ligi ilikosa mdhamini ikawa inajulikana kama Tanzania Premier League (TPL) Yaani anadhani ligi mpaka mdhamini..!
 
Back
Top Bottom