Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,780
- 13,695
Uwanja unauzwa upo Dar es salaaam chamazi machimbo kwenye bomba la Gesi.Bei mill 7 kipo sehem mzuri pia pamejengwa mi nimebaki katikati kwa anaehitaji namba ya simu 0767124704
Ukubwa wake?
Kina hati?
Je huduma muhimu zipo?
Kina hati ya serikali ya mtaa
Kama nini mkuuSpecification?
Subir nkacheki kwenye hati then nakutaarifuSpecification?
Nazungumzia ukubwaSubir nkacheki kwenye hati then nakutaarifu
Nazungumzia ukubwa
Mkuu upana 58x58 urefu 79x79Usijali mkuu nshakufaham
Hizi i meters sio??Mkuu upana 58x58 urefu 79x79
Hizi i meters sio??
Una maana ya 58 kwa 79??
Kwenye bomba la gesi?
Sio meter hizo kwa kuwa meter 58*79 ni nusu heka tayari hizo ni futiNdio mkuu
Ndio mkuu karibuSio meter hizo kwa kuwa meter 58*79 ni nusu heka tayari hizo ni futi