Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
Mtawala wa Dubai,(UAE) Al-Maktoum kujenga uwanja mpya wa ndege utakaokuwa mkubwa kulivyo viwanja vyote duniani na kuuita jina lake.
Hizi picha ni baadhi ya jinsi uwanja huo utakavyokuwa.Abiria watakuwa wakichukuliwa kwa treni kwenda kwenye boarding gates.
Bongo kazi tunayo na JNIA yetu.
Hizi picha ni baadhi ya jinsi uwanja huo utakavyokuwa.Abiria watakuwa wakichukuliwa kwa treni kwenda kwenye boarding gates.
Bongo kazi tunayo na JNIA yetu.