Uwajibikaji ajali ya ndege Bukoba

HIMARS

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
69,364
94,545
Kilichotokea Bukoba ni Uzembe wa Serikali na viongozi wake.

Wale watu waliokufa wamedhurumiwa maisha kutokana na utendaji mbovu wa Serikali

Lile swala halijatokea bahati mbaya, nina hakika Mwanza wanajua kilichotokea Bukoba maana wao walikuwa wakiwasiliana na rubani.

Kama ilitokea hitilafu Mwanza walikuwa wa Kwanza kujua, wakifuatiwa na Bukoba.

Je, twamsubiria Rais aje awafukuze kazi kwa uzembe wao?

Mkuu wa Uwanja wa Ndege Bukoba

Zimamoto na Uokoaji Bukoba

TAA Bukoba

Mkuu wa Mkoa Kagera na Wilaya ya Bukoba

Waziri Mkuu

Hawa watu wanasubiri nini Ofisini kwa ule uzembe ?

Ndege imekaa muda mrefu bila juhudi za serikali kusaidia chochote

Rais onesha mfano toa wa juu ili atayekuja awe mkali
 
Wakuu, hapo tungoje sisi wenyewe generation la late 80's mpaka la sasa hivi, vinginevyo hiyo miaka ya zamani bado wana depression ya kipindi cha ujamaa.
 
Back
Top Bottom