Uvunjifu wa amani zanzibar ni matokeo yaudhaifu wa ccm.

Michael Mwakyusa

JF-Expert Member
Mar 18, 2012
306
55
Wakuu mimi nafikiri kinachojiri zanzibar sasa na si ajabu hata huku bara ni kigugumizi cha serikali ya ccm kukemea kwa nguvu zote udini unaozidi kuota mizizi hapa nchini hasa hii mihadhara ya kukashifu dini.
 
usikurupuke kuandika mada kabla ya ya kuelewa ni nini chanzo cha vurugu zanzibar, tatizo la zanzibar sio dini kwani wao asilimia 99 ni waislamu!, tatizo wao hawautaki muungano ambao wao wanauona hauna faida kwao
 
Back
Top Bottom