Isack Elia
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 474
Kwa sas kuna jamaa tunafanya nae kazi amenisingizia na kunichafua sana kazini kulitokea hitilifu nikapoteza kazi ya mteja bahati mbaya.
Mteja alivyokuja ofisini akajaza maneno ya uongo nilichofanya nikarudisha hela kwa yule mteja lakini bado jamaa anaendelea kunichafua nimemuonya mara kadhaa lakini anakataa kua hafanyi hivyo.
lakini ushahidi ninao wa sauti na wa picha (screenshots) maana anaowaambia maneno mabaya huwa wananiambia...
Nimejaribu kumuepuka lakini bado ananifatilia tu na kuendelea kunichafua.
Je, nimfanye nini huyu mtu?