Uvumilivu unaelekea ukingoni

Umenena vyema .. jana nimeshndwa kulala kbsa namtafakari
Achana na wanaokwambia sijui anayasema madhaifu yako, mara blah blah kibao.
Kama hujawahi kufitiniwa kazini ukarudi mtaani ukaonja msoto hadi ukatamani kufa, basi endelea kumchekea huyo boya.
Katika kutengeneza uzao wako usicheke na watu wa namna hiyo sababu watu kama hao wataleta mateso makali na aibu kuanzia kwako na kwa watoto pengine hadi wajukuu
Kuna watu wanateseka sana hapa duniani kwa sababu ya mijitu kama hiyo
 
Ka


Kazi ilifutika kwenye computer na ni baada ya mteja kuitelekeza kwa mwaka mzima , na hata baada ya kutokea hilo nikajaribu kurecover imeshndikana sikua na jinsi zaid ya kurudisha hela .. naona jamaa akatumia kama njia ya kunichafua
Skiza dogo.

Siku zote ukweli ni mchungu ila anayekwambia ukweli ndio anakujenga uwe bora zaidi badala ya anayekupamba tu.

We chukulia hiyo km changamoto ya kukujenga hadi uwe chuma cha pua/mtaalam/nguli kwenye eneo hilo, usijenge bifu za kijinga.

Kwa mfano Mi nikuulize tu; kama kitu ulishakisevu kwenye computer (kama ulivyosema mwenyewe hapo) hicho kitu KINAFUTIKAJE au inakuwaje HAKIONEKANI tena?

Usiwe gOiGoI, Badilika.

Una habari saivi tupo uchumi wa kati?
 
Mpe last warning kama asipoelewa mpe adhabu kali sana

Nimefanya kazi kwa muda mrefu ila hii ndo ya kwanza kuniletea mattz ya kupotea na ni kwa sababu kwa navofanya kazi mteja or wateja huwa hawaachi kazi zaid ya mwez sasa huyu akaiacha mwaka mzima na nilivokua nampgia simu ananijibu mkato
 


Ungekua unatumia computer au unauelewa usingeuliza kuhusu kufutika
 


Nashindwa kuwaelewa madhaifu gn mtu anakuchafulia jina akat kesi nshaimaliza
 
Ifike mahali Wabongo tuwe na utamaduni wa kumface mtu kuongea nae kiutu uzima na kumweleza kinachokukwaza. Kama wenzetu wazungu wanavyofanya

Mkuu Mimi ningekushauri Muite huyo jamaa sio kishari bali kiutu uzima kabisa. Unaeza mpeleka hata bar mpige kinywaji, mkae chini mueleze kiutaratibu Kila Kinachokukwaza yeye kukuharibia jina na ushahidi muoneshe hizo screenshots.

Usiongee kijazba mkaanzisha ugomvi hapo, ongea Kama vile mnapiga story huku unamchana ukweli.
 
Sasa wewe una kila aina ya ushahidi fanya hivi.
1. Mtafutie wahuni wamtoe marinda ama wampe msukosuko mkubwa ikiwemo kumpigia kipara mkewe ama ndugu yake wa karibu na uhakikishe anajua.
2. Ushahidi huo wa matukio yake ya uongo yapeleke kwa boss wenu mkaongee na kusema kila ovu lake.

Fata ushauri wangu la sivyo mtaa mgumu maana hata kumwaga zege siku hizi wanachukuana ndugu. Zingatia
 
acha utapeli bro
 
Inaonekana bado mtoto hujajua dunia unaendaje ..wee samehe endelea na kazi yako...kwani ukifumba macho utapungukiwa?
 
Adhabu ya kugegeda mhalifu, hata mimi hapo zamani nilikuwa nadhania kuwa ni njia bora kuitumia, maana inamaliza hasira zote moyoni na ukimsamehe mtu, unamsamehe kweli kweli.

Lakini adhabu hii mara nyingi iliniliza mimi mwenyewe mtoaji, najikuta ninasamehe katikati wakati nikiadhibu kisha ninatoa na hela pamoja na ahadi za kuongezea kwa mhalifu!

Hii njia si nzuri sana kuadhibia mtu, maana inaweza ikakufirisi mwenyewe.
 
Ua
Ngoja tuendelee kuishi kama mashetani tutaelewana kidogo kidogo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…