Betoratekha
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 317
- 915
Kwani ni lazima kutii amri hata Kama inatolewa kichaa fulani Kama Lugola?
Hahaha Pinda juzi alipokea wanachama zaidi ya 300 kutoka chadema huko Manyara, mikutano ilikuwa imeruhusiwa au ndiye mbunge wa Manyara?!
Mbona wao juzi kati tu walikuwa Mbeya!? Aondoe upuuzi wake hapa.
Hahaha Pinda juzi alipokea wanachama zaidi ya 300 kutoka chadema huko Manyara, mikutano ilikuwa imeruhusiwa au ndiye mbunge wa Manyara?!
Kabisa....Kwa sababu hiyo amri inakuwa haina miguu.Tatizo la upizani waoga, amri inayovunja katiba ilipaswa kupuuzwa
Nchi INA maajabu ya dunia aisee inashangazaHahaha Pinda juzi alipokea wanachama zaidi ya 300 kutoka chadema huko Manyara, mikutano ilikuwa imeruhusiwa au ndiye mbunge wa Manyara?!
Mkuu wAnajua ndio maana kila siku wAnaimarisha jeshiTukitegemea Polisi Tutashindwa - Kikwete
Hahaha Pinda juzi alipokea wanachama zaidi ya 300 kutoka chadema huko Manyara, mikutano ilikuwa imeruhusiwa au ndiye mbunge wa Manyara?!
Kwani kule si wana serikali yao au shein ni mbunge
kwan bado hujayaona tu mamlaka ya ccm huko kwenye mkoa wa zanzibar?acha utani weweNgoja tuone kama wana mamlaka kiasi gani kule nchini Zanzibar!😀
Wasijaribu kabisa! Nimemkumbuka yule jamaa anaitwa Jussa! Yule ni taabu kabisa😀Hawawajui wazenj kutakuwa na maafa makubwa kama wataendeleza upumbavu wao kule.