Uvumilivu umemshinda Lugola

Uvumilivu umemshinda Lugola

Mikutano ni wakati wa kampeni tu nadhani ndo maagizo kutoka juu kwani kipenga kimeshapulizwa? Watu wanaacha kazi za kujenga taifa na kurundikana kwenye mikutano ya siasa! Tufanye kazi sababu sasa ni zamu yetu Afcon then Weld Kapu!!!Ha ha ha!
Wakati wa kampeni itakuwa salula salula
 
Wapumbavu sana hawa ccm kuelekea 2020 wana wasiwasi wa ajabu sana hivyo wameamua kucheza rafu za kila aina ili kukamilisha ujambazi wao kirahisi. Walijua baada ya kumpora Maalim CUF basi wamemaliza kazi kumbe wamekuwa chanzo cha ACT yenye nguvu kubwa visiwani sasa wanahaha huku na kule kuwatisha.

Wasijaribu kabisa! Nimemkumbuka yule jamaa anaitwa Jussa! Yule ni taabu kabisa😀
 
Swafiiii sana na wanao kiuka sweka lupangoooo
Haswa zito kabwe walahi
 
Nimejiuliza sana lakini sipati jibu.
Naomba msaada wa Wanasheria.
Kwa nini ACT-Wazalendo na CHADEMA hawafungui kesi Mahakama Kuu kudai haki ya kufanya mikutano?
Kwa nini Kangi Lugora hafunguliwi mashtaka kwa kutoiona ziara ya Mizengo Pinda lakini anamuona Zito Zuberi Kabwe tu?
Kwa nini Kangi Lugora hapewi nafasi ya kujieleza mbele ya Watanzania juu ya undumilakuwili huu?
Mahali pekee pa kumfanya Kangi Lugora ajieleze mbele ya Watanzania ni Mahakamani.
Hii 'double standard' ya Jeshi la Polisi na Kangi Lugora inawajibishwa vipi kisheria?
Kangi Lugora, kwa matamshi yake akiwa Unguja, afunguliwe kesi ajieleze ili Mahakama Kuu itoe msimamo juu ya jambo hili.
Wanasheria tusaidieni katika hili.
Zipo kumbukumbu za Mahakama Kuu kupitia maombi ya "Orders of Certiorari, prohibition, and Mandamus" ika-'quash' MAAMUZI YALIYOTOLEWA NA SERIKALI na Serikali ikalazimishwa, ku-"discharge its function properly, because it was executing its duty unlawfully, thus ultra vires".
Maamuzi ya kumzuia Zitto Kabwe asipokee wanachama wapya, huku ukimruhuhusu Mizengo Pinda na Bashiru Ally wapokee wanachama wao wapya hayakiuki Katiba?
(unreasonable ultra vires the Constitution of the United Republic).
((Wanasheria mnajua kuwa hayo maneno ya Kimombo cha Sheria nimenukuu kwenye kesi ya Dampo la Kunduchi)) Mimi siyo Mwanasheria.
Kwa nini Sheria hiyo isitumike kwenye suala la Mikutano?.
Kwa nini Upinzani wanafunguliwa kesi kila kukicha, lakini wao hawawafungulii CCM kesi za madai ili wote washinde Mahakamani?
Kwa kweli sielewi!
Hahaha waliishafungua nyingi naajafukuzwa, matunda, wakaona nikupoteza muda na pesa. Lipi jipya?!
 
Hahaha waliishafungua nyingi naajafukuzwa, matunda, wakaona nikupoteza muda na pesa. Lipi jipya?!
Lini walifungua, na ni nani alifungua kuanzia kipindi ambacho Rais Magufuli alivyozuia mikutano ya kisiasa kwa Vyama vya Upinzani na inayoruhusiwa ni ya CCM pekee? Sijawahi kusikia.
 
Lini walifungua, na ni nani alifungua kuanzia kipindi ambacho Rais Magufuli alivyozuia mikutano ya kisiasa kwa Vyama vya Upinzani na inayoruhusiwa ni ya CCM pekee? Sijawahi kusikia.
Hujawahi kusikia wewe hata ukuzitafuta humu JF taarifa zipo
 
ukiona unapingwa sana na watu wabaya ujue kuwa hawatak upate nafasi ya kuonesha mabaya yao
 
Back
Top Bottom