Uvumilivu umemshinda Lugola

Uvumilivu umemshinda Lugola

tatizo wapinzani hawaweki kumbukumbu,usikute hawana footage hata ya huo mkutano wa pinda huko manyara,sasa hata mahakamani sijui wanajitetea kwa hearsay?
 
Ipo siku watanzania watachoka tu na huo uonevu. Ni suala la muda tu. Mungu ibariki Tanzania.
 
Ipo siku kipofu atakapo funguliwa macho
Hahaha Pinda juzi alipokea wanachama zaidi ya 300 kutoka chadema huko Manyara, mikutano ilikuwa imeruhusiwa au ndiye mbunge wa Manyara?!

In God we trust
 
Mbona wao juzi kati tu walikuwa Mbeya!? Aondoe upuuzi wake hapa.
Hawajijui kuwa hawajui
FB_IMG_1551869517984.jpeg


In God we trust
 
Back
Top Bottom