habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,752
Tukitegemea Polisi Tutashindwa - Kikwete
CCM ni chama dhaifu sana !Hahaha Pinda juzi alipokea wanachama zaidi ya 300 kutoka chadema huko Manyara, mikutano ilikuwa imeruhusiwa au ndiye mbunge wa Manyara?!
Watazuiwa hadi kwenye nyumba za ibada.......tatizo hawa wanachama wengi ni wa imani moja ile ya Cuf!
Wazee wa kupika ugali sumu!🤣🤣🙌🏾🙌🏾Watazuiwa hadi kwenye nyumba za ibada.......tatizo hawa wanachama wengi ni wa imani moja ile ya Cuf!
Sasa Raisi sheni atueleze hayo mamlaka kamili ya nchi yake yako wapi ? Mbona waziri wa tanganyika anaingilia mambo ya ndani ya zanzibar ?