Uvumilivu umemshinda Dkt. Hamis Kigangwala, aahidi 'Kujilipua' mazima kwa 'Maadui' zake Januari hadi Desemba 2022

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,754
109,383
Mungu yupo. Muda utaongea! Nipo holiday mood, mniache tumalize Mwaka halafu tutaenda Hoja kwa Hoja. Huu Mwaka ulikuwa mrefu sana kwangu! Nilinyamaza upite, ujao sitokuwa kimya. Tutaanza kuongea January mpaka Disemba! InshaAllah!

Chanzo: Dk. Hamis Kigangwala MB

Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya Wenzetu wanaugua Ugonjwa wa Akili ila bado hawajajitambua tu.

Hivi Jemedari mzuri wa Vita anaweza Kuahidi ni lini ataanzisha Mashambulizi yake kwa Maadui zake?

Unaposema kuwa nawe utajibu mapigo yao kwa Kukuchokoza (Kukushambulia) hao Maadui zako walikuambia kuwa Silaha zao za Kukukabili zimeisha?

Wenye Akili tunajua kuwa kuna Watu mlidanganywa mno na mpaka kufikia Kuhonga baadhi ya Watu ndani ya 'System' ili mlambe 'teuzi' ila 'Mama' kawatosa na mmenuna kiasi cha kutuahidi Mambo ya Kipuuzi kuanzia mwakani.

Haya tunakusubiri tuone na Ahadi yako.
 
Hamis aendelee kulima nasi huko mbalali, kalelewa na kazaliwa mwanaume anaishi kwa akili, nafsi na kinywa cha kike
 
Kigwangalla alipelekwa ugangani huko Iwawa Makete na Jah people.

Masharti ya kikinga siyo ya kitoto Uwaziri ni lazima utoe kichwa bora zaidi.
 
Hamis anapenda sana attention , huwa naona hata ukurasa wake wa Facebook ni vitu vya ajabu kwa kweli
 
Hamis anapenda sana attention , huwa naona hata ukurasa wake wa Facebook ni vitu vya ajabu kwa kweli
Nadhani yule ni mwanaume anayeongoza kwa kupost Picha zake nyingi kwenye mitandao ya Kijamii..
 
nasikia huyu baba ana vihelehela vya kubadilishia mboga halafu kwa nini wanamtuhumu kutoa watoto makafara
 
Mungu yupo. Muda utaongea! Nipo holiday mood, mniache tumalize Mwaka halafu tutaenda Hoja kwa Hoja. Huu Mwaka ulikuwa mrefu sana kwangu! Nilinyamaza upite, ujao sitokuwa kimya. Tutaanza kuongea January mpaka Disemba! InshaAllah!

Chanzo: Dk. Hamis Kigangwala MB

Kuna uwezekano mkubwa baadhi ya Wenzetu wanaugua Ugonjwa wa Akili ila bado hawajajitambua tu.

Hivi Jemedari mzuri wa Vita anaweza Kuahidi ni lini ataanzisha Mashambulizi yake kwa Maadui zake?

Unaposema kuwa nawe utajibu mapigo yao kwa Kukuchokoza ( Kukushambulia ) hao Maadui zako walikuambia kuwa Silaha zao za Kukukabili zimeisha?

Wenye Akili tunajua kuwa kuna Watu mlidanganywa mno na mpaka kufikia Kuhonga baadhi ya Watu ndani ya 'System' ili mlambe 'teuzi' ila 'Mama' kawatosa na mmenuna kiasi cha kutuahidi Mambo ya Kipuuzi kuanzia mwakani.

Haya tunakusubiri tuone na Ahadi yako.
Aina ya watu waliopo chukua chako mapema🤔.
 
Back
Top Bottom