Uvumbuzi wa mambo mapya

Uvumbuzi wa mambo mapya

Video nyingi YouTube ni fake trick hazina uhalisia wowote.
Lengo la wanaopost video za kihivyo ni kupata viewers kwa gharama yoyoye so changanya na zako
 
Naombeni majibu kuna ukweli hapo...?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu ukiangalia hiyo video kwa makini utaona kwamba Jamaa kaconnect simu yake na wifi Toka chanzo kingine kabisa na suala la kukosa network access ipo hivi:
Tuassume kwamba chanzo ni hotspot Toka simu nyingine Sasa kabla ya kuchomeka hicho kishubaka anakuwa ameweka data off then akichomeka kishubaka chake kule kwenye hotspot anaweka on ili kutudanganya kwamba kakidude ndio kanaboost speed.
Kabla ya kuja huku ungejaribu Kwanza kuthithisha coz line ni buku tu kitaani na spark plug unaenda kujiokotea tu garage
 
Sina uhakika, kweli nahofia kuna kujisumbua bure kufanya alicho kifanya.

Back
Top Bottom