Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,139
Ishu ndogo hiyo we njoo na vitu vyako vyeupe ukipakwa mapoda, malipstic, mapafyum tutajua what to do!!!!!!
Dah wadau kila mara nasikia kuwa kuna white party maana hata Lara1 nae naona kapania kweli guys hebu fungukeni basi tuje kujumuika Kebby's.hahaha kumbe upo. mzima wewe?? hiyo salt yako inaonekana kiwangoooo nasubiri kwenye white patty
Dah wadau kila mara nasikia kuwa kuna white party maana hata Lara1 nae naona kapania kweli guys hebu fungukeni basi tuje kujumuika Kebby's.
Lara njoo uchangie huku ndugu yanguuuu!!
napenda avatar zako the babies are soo cute unantamanisha nibebe mimba ingine ujue..................hehehehheeee na mie nshamaliza.
Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji, pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.
Jamaa mmoja dereva taxi alikodiwa na mama wa kizungu kutoka Airport. njiani mama alimmind jamaa! Walivyofika hotelini jamaa akaona ili ampagaishe yule mama aende uvinza, tena kabla mama hajaenda kuoga. Basi safari ya uvinza ikaanza, lkn jamaa alichemsha maana yule mama alitoka safari ya mbali na njia ya uvinza ilitibuka sana. akatapita, yule mama akamuuliza unaumwa? jamaa akasema hapana! mama akamwambia nenda usijenifia bure! jamaa akaondoka kwa unyoonge. Maana aliahidiwa mambo kibao.Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji, pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.
Daaahh umenichekesha sana mkuuinapatikana kwenye kipochi manyoya
He! kumbe tuko wengi, nilidhani ni mimi tu nilyepata misukosuko ya uvinza.Jamaa mmoja dereva taxi alikodiwa na mama wa kizungu kutoka Airport. njiani mama alimmind jamaa! Walivyofika hotelini jamaa akaona ili ampagaishe yule mama aende uvinza, tena kabla mama hajaenda kuoga. Basi safari ya uvinza ikaanza, lkn jamaa alichemsha maana yule mama alitoka safari ya mbali na njia ya uvinza ilitibuka sana. akatapita, yule mama akamuuliza unaumwa? jamaa akasema hapana! mama akamwambia nenda usijenifia bure! jamaa akaondoka kwa unyoonge. Maana aliahidiwa mambo kibao.
Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji, pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.
huijui chumvi eeh?
Nimegundua kwa nini UKIMYA unaendelea kuenea kwa kasi na kutj vijana