Uvinza Siendi Tena

Uvinza Siendi Tena

Power G

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
3,884
Reaction score
1,200
Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji, pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.
 
Wenzio huwa tunaenda kutest tu kama chumvi yahuko ina ladha...na tukishaonja tunayoyakuta huko huwa tunakaa kimya....
 
We nawe umezidi usafiri wa kukodi unataka ufike mpaka uvinza?
Mkuu siyo kutaka tu kufika uvinza, bali niliona niutumie usafiri kwa kukodi kikamilifu kwa kuvinjari maeneo mbali mbali ili pesa yangu iwe imekwenda kwa haki. Hata hivyo safari iliishia njiani, maana hata "makundu-chi" sikwenda kabisa. Anyway tunajifunza tokana na makosa msinilaumu mwenzenu
 
Jf is never boring ..source TB

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Jana baada ya mihangaiko ya
kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako
nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua
kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu
basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari
ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko
za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji,
pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na
asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona
usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na
ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka
iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza
kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako
shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.

Eeeeh uvinza sijakusoma vizuri au ulikua unataka kuzaliwa nini?
 
Jana baada ya mihangaiko ya kutwa nzima, kabla ya kwenda geto niliamua kuvinjari mjini ambako nilipata "usafiri" wa kukodi. Baada ya kuukodi huu usafiri niliamua kwanza niende "Uvinza chumvini" kisha nikitoka huko kama muda utaruhusu basi nitembelee na "makundu-chi" zenji. Basi wana mmu, nilianza safari ya kuelekea uvinza, kule kukaribia tu nilikutana na harufu mchanganyiko za ajabu sana. Nyingine za vitunguu swaumu, malimau, vitunguu maji, pilipili, tangawizi n.k. Kwa kweli nilipata kichefu chefu cha ajabu na asubuhi ya leo nimeamka nikiwa na mafua makali sana. Baada ya kuona usafi wa "uvinza" hauridhishi, niliahirisha safari ya "makunduchi" na ikabidi nilipe gharama za kukodi usafiri na nirejee geto haraka iwezekanavyo. Nawaasa vijana wenzangu wanaopendelea kutembelea uvinza kwamba wakati huu wa joto kali wapunguze safari za huko maana hapako shwari, vinginevyo wataishi kupata vipindupindu.

daaaah sasa hiyo harufu mi ndo naipenda kweli
 
Mi nasemaga kila siku wanaume wamekwisha oneni sasa.
Nyie ndo mnapataga fungus za koo wewe umekodi mbwembwe zote za nini?na huko makunduchi hujakutana na nya kweli?
 
Mkuu siyo kutaka tu kufika uvinza, bali niliona niutumie usafiri kwa kukodi kikamilifu kwa kuvinjari maeneo mbali mbali ili pesa yangu iwe imekwenda kwa haki. Hata hivyo safari iliishia njiani, maana hata "makundu-chi" sikwenda kabisa. Anyway tunajifunza tokana na makosa msinilaumu mwenzenu

uutumie kikamilifu au ujitumikishe kikamilifu?
 
Mkuu, hukupaswa kwenda Uvinza kwa usafiri wa kukodi. Umeona sasa? Huko nenda na usafiri wako ulio safi utafika na utasikia raha. Pole kwa yaliyokusibu mkuu.
 
Chumvi? nini nini?

ni kiungo cha kupikia (chumvi) inawekwa kwenye mboga na vyakula kama wali, makande, ndizi za kupika hata embe bichi unakula na pilipili...........................kazi kwako inamatumizi mengi nahata ukijikata kama first aid ya kufanya damu isiendelee kutoka ni kuweka chumvi hapo mahali palipokatwa.
 
Mi nasemaga kila siku wanaume wamekwisha oneni sasa.
Nyie ndo mnapataga fungus za koo wewe umekodi mbwembwe zote za nini?na huko makunduchi hujakutana na nya kweli?

heheheheeeeeeeee waambie hao ila wanaume ni watu wagumu sana wanakutana na mambo mengi kweli kwenye one night stand ila hawasemi wanakufa navo rohoni kisabuni huyu tuu anaonekana roho yake ndogo kaja kusema cha kushangaza hawakomi, utakuta mke/mchumba/girlfriend anae nyumbani ila pamoja na maswahiba yote anayokutana nayo huko mitaani bado kesho anarudi kukodi mwingine. Mi natamani siku moja wakodi jini halafu ifanye ile story ya zamani ya ''mpenz ngoja nizime taa jini linamwambia usihofu ntazima mara ananyoosha mkono mrefu kutoka kitandani na kuzima taa lahaulaaaa!! unafikiri usiku huo huyo mbaba alilala au aliendeleza libeneke?
 
Ulijuaje kama 'usafiri' uliokuwa umekodi ungekubali kukufikisha huko "makundu-chi"? Laana zingine tunazitafuta wenyewe aisee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom